Critical Thinking: Hali ngumu ya maisha, Je nini chanzo?

umaskini wa kwanza kabisa kwa mwanadamu unasababishwa na ufikiri wake! ongeza sababu namba 3 kabla ya ufumbuzi

Hi five mdau, this's the MAIN SOURCE OF EVERY TERRIBLE THING. Ukosefu wa fikra bora ni kama utumwa, somebody ends up wasting time, space and strenght on things they wouldnt have to do or engage in, just because they're mentally poor while on the flip side of it life can be a lot easier to those who're mentally capable..
 
Nini chanzo? Toka tupate uhuru mpaka sasa nani anatawala nchi, si ni CCM. Kwa hiyo jibu ni utawala mbovu wa CCM kwani hawataki hii nchi iwe na maendeleo ili waendelee kuomba misaada nje na kulimbikiza hizo pesa za misaada nje. CCM = Kifo kwa mtanzania.
 
Hiyo hali ngumu ni mimi na wewe,natumai hivi sasa kuna watu wanapata mauziano ya nyumba masaki au mbezi beach!!!.
 
Kama baba v alivodai,nashindwa kuelewa ni jinsi tutajadili msimamo wa kimaisha tena ya kitaifa bila kuhusisha watuhumiwa-yani wanasiasa. Hakuna nchi inayosimamia demokrasia na maendeleo yake bila kuhusisha siasa za nchi. Ndo mana mwl nyerere alirudia rudia maneno kama siasa na uchumi,siasa ni uchumi, siasa ni kilimo,siasa na maendeleo n.k. Apa nitashindwa kuchangia mada kwa kuwa waua nchi wamewekwa pembeni . Tunajitaidi kuchunguza kifo cha marehemu aliyeuawa na chui ila kwa sharti la kutomtaja chui popote ktk uchunguzi. Je itawezekana?zitto kasema watu wameficha nje ya nchi zaidi ya bajeti ya nchi ya mwaka,akina nan?marais,mawazir,makatibu n.k ni akina nani?wanasiasa?apa ktk maisha ya ufukara tunawakwepaje wanasiasa!
 
Back
Top Bottom