pele on stage now..
Ni maajabu kama Messi atapewa hiyo tuzo mwaka huu. Hakuwa na msimu mzuri kabisa mwaka 2013.
Ni Ronaldo au Ribbery tu.
Na cr7 akikosa mwaka huu kwisha habari yake
Huyo jamaa Ndio Nani?
Ni maajabu kama Messi atapewa hiyo tuzo mwaka huu. Hakuwa na msimu mzuri kabisa mwaka 2013.
Ni Ronaldo au Ribbery tu.
Blatter na wala hongo wenzake wa FIFA wametuletea kioja kingine
World XI: Neuer; Alves, Thiago Silva, Ramos, Lahm; Iniesta, Xavi, Ribery; Ronaldo, Messi, Ibrahimovic.
The self-proclaimed greatest league in the world - the Premier League - has a grand total of zero representatives.
vipi kuhusu shnider 2010 mbona alibeba vikombe vyote lakini tuzo akapewa messi