Mess sijamuona mpinzani wake katika sayari hii ya dunia
Let me say sorry for C7 kwa kuzaliwa enzi za Le masseiah,king of kings,Record breaker,The marvolous MESSI
Messi ni zaidi! Licha ya kukaa nje muda mrefu bila kucheza, bado takwimu zake ziko vizuri tu