CRISTIANO RONALDO For Ballon D'Or 2013

CRISTIANO RONALDO For Ballon D'Or 2013

Mafanikio na mchezaji Bora tutasimama kwa yule mwenye mafanikio ya kupata vikombe...na si mibio na kuchana nywele kwa style...amka

ahh! we nawe unaongea kwa hacra cjui!?!! au Ronaldo alisha wahi kuitesa timu yako? hilo swala la nywele c ndo yale yale ya sepp blatter?? acha upuuzi,ongelea mpira co looks za mchezaji!! we vp! angekuwa zidane ungesema wamempa tuzo kisa ana kipara au?? ahahah!
 
Asanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
messi was injured in 2008 and cr7 took a chance to b a winner az ze same messi kaumia last yr na cr7 kachukua tena co cr7 asubil messi aumie tena mjnga huyo
 
messi was injured in 2008 and cr7 took a chance to b a winner az ze same messi kaumia last yr na cr7 kachukua tena co cr7 asubil messi aumie tena mjnga huyo

kweli kabisa,ila hata juzi ilibidi abebe ribery kusema za haki
 
ronald ni bora sana

kweli ni bora ila ubora unazidiana,kwa msimu ulioisha ribery ni bora zaidi yake,
ribery ni mchezaji bora ulaya ambapo ronaldo yupo ndani yake ina maana alimpita kwa vigezo vyote,sasa iweje leo ampite kwenye tuzo hii,kwa lipi hasa?hiyo mechi ya sweden au?mbona hata ribery nae aliipeleka france kwa jitihada kubwa!tena hao fifa wamesogeza makusudi muda wa kupiga kura ili kumpa nafasi ya kutengneza rekod lakini wapi?
Ribery ni bora zaidi
 
sio razima uwe mchezaji bora ulaya ndio uwe mchezaji bora duniani.pia wapiga kura ni tofauti sana kati ya kuchagua mchezaji bora ulaya na dunia
 
sio razima uwe mchezaji bora ulaya ndio uwe mchezaji bora duniani.pia wapiga kura ni tofauti sana kati ya kuchagua mchezaji bora ulaya na dunia

sawa ila tukiweka mambo ya kura,kwa mwaka 2013 aliyefanya vizuri uwanjani kati ya ribery na ronaldo ni nani?
 
Watu wanajua sana lalamika. Waliomchagua hawakukosea na hata Ribery analalamika wakati kura zenyewe sio siri zinatangazwa.
Huyu Ribery hata watu wa nchi yake walimpa CR7
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom