Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 19,110
- 44,166
🤣🤣🤣🤣Nimekugawa! experience Yako ni kubwa.sidhani,kwakweli Tangu niibiwe Dekio langu na kila mtu anasema hajui na nililianika kwenye kamba, staki tena kushare kamba za kuanika nguo.
Mi niambiwe tu na nihakikishiwe Zamu ya usafi wa choo hapo itakuaje,maswala napangwa zamu hadi Jumapili wakat nakua sipo staki.
Je uhakika wa jirani sio msumbufu wa kuomba omba vimchuzi??