CRDB Sim Banking haipo salama

CRDB Sim Banking haipo salama

Mkuu hii hata mimi ilinitokea juzi nilikuta account mbili ikasema choose an account with which to transact nikasita... technology inawashinda CRDB siku nyingine ukiangalia salio kupitia sim banking unakuta hela pungufu ukienda ATM unakuta ziko sawa....ni hatari sana...hata hivyo account yangu hiyo ni ya kupitishia kamshahara ka madafu tu....

sasa wewe usingesita ungeamua kucheki hiyo account nyingine kujiridhisha na ulikuwa na uwezo wa kuifanya vyovyote upendavyo ni hatari sana hawa watu
 
sasa wewe usingesita ungeamua kucheki hiyo account nyingine kujiridhisha na ulikuwa na uwezo wa kuifanya vyovyote upendavyo ni hatari sana hawa watu
Kweli sikuwa na wazo hilo maana nilijua pengine ningefanya chochote kwenye hiyo account pesa zingehama kutoka kwenye account yangu...hata ile internet banking na yenyewe ovyo tu... hamna usalama....kama mtu una hela nyingi ni bora kukunua dola ukakaa nazo ndani au ukazichimbia chini mabenki ni hatari
 
sasa wewe usingesita ungeamua kucheki hiyo account nyingine kujiridhisha na ulikuwa na uwezo wa kuifanya vyovyote upendavyo ni hatari sana hawa watu
Mkuu unajua watu wengine tumeumbwa tuko inherently honest and trustworthy sikuona sababu ya kutransfer pesa kwenye account isiyo yangu...
 
Hata nilipokwenda ku report hilo tatizo wafanyakazi wa CRDB waliniambia ni mwongo kama wewe unavyosema lakini kwa kuwa nilikuwa na cm nikabofya halafu nikawaonyesha nikawauliza vipi nihamishe mpunga wote wa huyu jamaa kama mimi mwongo waka vibrate sana nikawaambia wawe makini kwenye system zao. ni ukweli tupu sitaki kusema wapi kwa sababu najulikna sana kwenye branch na waliniomba nisiseme so thats it

Wewe na njaa yenu ya bongo uone hela ya mtu usichukue usitudanganye hapa
 
njooni nmb mnaangaika nin system mbovu crdb.
No thank you.... I love CRDB, najua hiki kilikuwa kipindi cha mpito tu kwao.... ng'ang'ana nao hawa hawa. Ila nitaongeza account ya $ Ili iwe rahisi kwangu kumanage.
 
ukisikia wale wandishi makajanja ndiyo huyu mleta hii madaa.
ukita kujua simbank ya bank gani ni salama kaulize polisi wana kesi nyingi kutoka bank gani za wateja kuibiwa kwenye hii huduma.
ndo utajua ipi ni salama na ambayo si salama.
usishangae!....ukiambiwa nmb unaowapigia promo
 
kuzunguka kooote,hoja yenu imekaa apo...wewe na ID zako zote unapost kuwakashifu crdb ili upigie kampeni nmb yako...system nzuri ni ya nmb???you cant be serious. Jipangeni upya,kuwaharibia crdb si rahisi ivyo...mimi ntabaki crdb na exim wangu ndo naona wako bora zaiidi apa tz
System nzuri ni Standard Chartered.. CRDB ni majanga vibaya mno. Kuna siku nilikuwa nahamisha elfu 50 kutoka Benki kwenda M-PESA,muamala wa kwanza nimefika mwisho ukanionesha "hujafanikiwa" nikajaribu tena baada ya dakika 10 jibu likawa lile lile,nikaachana nalo hilo.. Baada ya siku 3 asubuhi nikapokea SMS mbili za kwamba nimehamisha pesa Tsh 50,000 na ile miamala miwili yote ikaingia M-PESA.
 
system ya crdb ni mbovu, hii imetokea mara kadhaa. Tumeisharipoti kwao sijui kama hizi taarifa wanazifanyia kazi. Wanatutia hasara kweli maana kila unapofanya transaction lazima ulipie service charge benki na service charge network providers.
 
Hapa leo naangalia balance naona Tsh 4000 imekatwa trh 07.09.2013.
 
Madili gani mbele ya njaa yako wewe lazima ungechukua tu

We ndo mpuuzi wa kutupwa tena mwenye njaa kali... dunia ya leo bado unafikra za mwaka 47... jaribu cku ikikutokea uone kitakachokupata.. shame on u
 
Back
Top Bottom