Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,323
- 18,537
Wakuu nimekwama hapa, sim card yangu imesajiliwa kutumia Huduma ya sim banking na kila mara naitumia kucheki balance, kuhamisha fedha na hata kununua Salio la muda wa hewani, sasa Leo kila nikiingia kuangalia balance najibiwa hivi:
Hujafanikiwa
Invalid Account status
Sasa najiuliza ni tatizo la mtandao au kuna mauzauza kwenye akaunti yangu?
Msaada Tafadhali kwa Mwenye kujua kuhusiana na hili anieleweshe.
Natumia sim card ya Tigo
Asanteni