CRDB is no longer, ni benki ya kuihama

CRDB is no longer, ni benki ya kuihama

Wake kwa Waume habari zenu.

Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo

Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.

Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola

Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma

Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?
vumilia maana na huko utakako hamia wanawza in the future kuwa na marekebisho hayo hayo

Ukweli wao tutaupata jtatu.

We are sailing in the same difficulties!
 
Kijani walituambia tutatumia ATM na miamala ya simu lakini wapi. Ni muendelezo wa ujinga ujinga tu. Unawezaje kufunga huduma zote za benki kwa siku 3?
Na kesho siku ya 4, nimempigia muhudumu mmoja yupo nyumbani amelala, na anavyonjibu sasa, kama vile wala hakuna tatizo Wallah ananiambia nijaribu kwenda ndani dirishani wiki ijayo
 
vumilia maana na huko utakako hamia wanawza in the future kuwa na marekebisho hayo hayo

Ukweli wao tutaupata jtatu.

We are sailing in the same difficulties!
Ngoja tuone
 
Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo
  • Kama sikosei walitoa tangazo mapema,
  • Huenda bahati mbaya kwako hukuliona tangazo wakati muafaka.
 
Imekuwa benki ya kipuuzi sana
 
Changamoto kidogo uhame kwingine hamna changamoto??
Benki kubwa yenye wateja wengi kiasi hiki isiwezeshe huduma yoyote ile kwa wateja wake kwa siku 4 wewe waona tatizo dogo pia
 
  • Kama sikosei walitoa tangazo mapema,
  • Huenda bahati mbaya kwako hukuliona tangazo wakati muafaka.
Ujue kabla ya juzi tayari kuna malalamiko mengi kuhusu CRDB hasa katika huduma zake za simu, mara nyingi ujumbe utakaoona ni
"Huduma Haipatikani" Tafauti na benki zinginezo
 
Mkuu, walitangaza kwamba wanafanya maboresho ya mfumo kwa muda wa siku tatu. Ulipuuzia hilo tangazo?
Hata wangetangaza kwamba mwaka keshokutwa tutafunga Huduma hio sio excuse; huwezi kufanga kila kitu bila plan B wakati watu wanashughuli na pesa zao ambapo uzembe wako unawaza ukawatia hasara; Na kwanini wafanye complete overhaul na wasifanye stage by stage au usiku wa manane au weekends ?
 
Walitoa tangazo la kusitisha huduma kwa ajili ya marekebisho
 
Habari kutoka kwa walevi wa ile bar....zinadokeza.... imepigwa tukio moja takatifu!

Ni swala la muda tu...itafahamika...tuupe muda nafasi....

kibaya ni kwamba hakuna taasisi ya hivi itaweka wazi hili!/utaambiwa ukweli kuwa wamepigwa..

Mtaanza kuona anguko la ghafla kwenye soko la hisa!
Acha kupotosha umma mbona tangazo lilitolewa mapema, wambongo mnapenda habari za Vijiwe vya kahawa' ndio tatizo
 
Wake kwa Waume habari zenu.

Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo

Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.

Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola

Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma

Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?
Wewe una matatizo yako binafsi ya kutokufiatilia taarifa.mbona walisema kuwa kutakuwa nankufungwa kwa huduma mpaka jtatu.Ilibidi kujiongeza kufanya miamala kabla..na kwa taarifa yako maboresho yanaweza kukamilika jumatano.
 
Habari kutoka kwa walevi wa ile bar....zinadokeza.... imepigwa tukio moja takatifu!

Ni swala la muda tu...itafahamika...tuupe muda nafasi....

kibaya ni kwamba hakuna taasisi ya hivi itaweka wazi hili!/utaambiwa ukweli kuwa wamepigwa..

Mtaanza kuona anguko la ghafla kwenye soko la hisa!
Huu ni uzushi pia kama zushi nyingine.
 
Acha kupotosha umma mbona tangazo lilitolewa mapema, wambongo mnapenda habari za Vijiwe vya kahawa' ndio tatizo
Tangazo lao halikusema huduma zote zinasitiahwa muda wote. Walisema total blackout ni masaa machache tena usiku. How comes system zote hazifanyi kazi? Sio ATM, sio sim banking? Four days for a bank with outreach such as CRDB being offline is so detrimental to our economy.
 
Wake kwa Waume habari zenu.

Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo

Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.

Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola

Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma

Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?
Mkuu hao jamaa si walitangaza juzi kati kuwa watafunga matawi yao kwa ajili ya maboresho ya mfumo? Au taarifa hukuipata mkuu?
 
Mimi nimekereka sana .nimeanza toka juzi huduma za benki ya crdb Kila ninapoenda Kwa wakala mitandao ni shida,nikaamua kwenda benki na penyewe hakuna kitu.Jumatatu naenda kutoa Hela zangu zote na kuhamia kwingine.Bora nihamie hata benki ya Nchi jirani
 
Haya mabenki ya local kama NMB NA CRDB ni ya kihuni sana, benki gani unaweka pesa eti hata senti tano ya faida hawakupi eti wewe ni kukatwa tu..!!!

Weka hela yako kwenye hizo benki kama shilingi laki moja hivi kisha usitoe wala kuongeza halafu mwaka uishe uulizie salio uone kama utakuwa hata na senti tano, utakuta wamekomba yote..!!

Hayo mabenki ni ya hovyo sana na naweza kusema ni mabenki ya kisiasa zaidi kuliko ya kibiashara. Bure kabisa.
 
Wake kwa Waume habari zenu.

Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo

Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.

Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola

Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma

Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?
Mtanyooka na hio benki yenu
 
Back
Top Bottom