CRDB is no longer, ni benki ya kuihama

CRDB is no longer, ni benki ya kuihama

Mnaokomaa kusema walitoa tangazo, kulikuwa na tangazo zaidi ya hili?? Halafu mjue sio kila mtu ni mfuatiliaji wa mitandao yao ya kijamii kwa nini hata wasingetuma message kwa wateja???
Hizo huduma zote walizosema zitafanya kazi kipindi cha marekebisho zote hazifanyi kazi. Ningekuwa na muda wa kupoteza ningewafungulia kesi
b599d16c-cfda-4e8e-9bdc-995fe5d527c7.jpeg
 
IMG-20250904-WA0007.jpg

Nyinyi mnao sema walitoa tangazo..... Ni sawaa ila mlielewa nini walimaanisha au ndo lugha gongana.....
 
Wake kwa Waume habari zenu.

Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo

Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.

Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola

Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma

Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?
Mbona walitoa tangazo mapema? Hukuwa na taarifa?
 
Mnaokomaa kusema walitoa tangazo, kulikuwa na tangazo zaidi ya hili?? Halafu mjue sio kila mtu ni mfuatiliaji wa mitandao yao ya kijamii kwa nini hata wasingetuma message kwa wateja???
Hizo huduma zote walizosema zitafanya kazi kipindi cha marekebisho zote hazifanyi kazi. Ningekuwa na muda wa kupoteza ningewafungulia kesi
View attachment 3466661
Hao ni kama TANESCO tuu, uzembe tuu
 
Wake kwa Waume habari zenu.

Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo

Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.

Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola

Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma

Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?
CRDB walitoa taarifa mapema kuwa kwa siku hizo hawatafanya kazi. Na walielezea kazi zitakazofanyika na ambazo hazitafangika. Ni udhaifu wako kutoipata hiyo taarifa.
 
Mkuu, walitangaza kwamba wanafanya maboresho ya mfumo kwa muda wa siku tatu. Ulipuuzia hilo tangazo?

Tangazo lilikuwa bank haitafanya kazi wakati wa usiku. Lifungue lile tangazo, kasome masaa ambayo huduma zitakuwa off. Haikuwa iwe na wakati wa mchana. Kama haifanyi kazi hata masaa ya mchana, ni maajabu!!
 
Tangazo lao halikusema huduma zote zinasitiahwa muda wote. Walisema total blackout ni masaa machache tena usiku. How comes system zote hazifanyi kazi? Sio ATM, sio sim banking? Four days for a bank with outreach such as CRDB being offline is so detrimental to our economy.
We umekosa huduma gani ambayo walisema itakwepo?
 
Tangazo lilikuwa bank haitafanya kazi wakati wa usiku. Lifungue lile tangazo, kasome masaa ambayo huduma zitakuwa off. Haikuwa iwe na wakati wa mchana. Kama haifanyi kazi hata masaa ya mchana, ni maajabu!!
Ulisoma vizuri tangazo?
 
Wake kwa Waume habari zenu.

Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo

Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.

Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola

Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma

Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?
Yaani wewe na ujanja wote unategemea bank moja?
 
Ife tu mkopo wangu ufutwe 😂😂😂
 
Dah vijisenti vyangu vitakuwa thalama kweli
 
walisema downtime itakua ndani ya masaa fln tu na wakayaorodhesha, la now mzigo wote upo down
Ulisoma hilo tangazo mkuu. Mbona lilikuwa wazi, na watu tukafanya miamala. Angalia chini ya downtime window kuna maelezo gani?
 
Back
Top Bottom