CRDB is no longer, ni benki ya kuihama

CRDB is no longer, ni benki ya kuihama

Mifumo ndio ufunge kila kitu? Kwa siku nne? biashara za watu zitakuwa zimeingia hasara sana kwa hili
Walitoa taarifa wiku kadhaa...ulitakiwa ujihadhari na kadhia hiyo....wafanya biashara makini hawana bank moja...kumbuka kuna bank kufa...na kuibiwa au kufirisika....kama una bank moja basi jitafakari
 
Wewe una matatizo yako binafsi ya kutokufiatilia taarifa.mbona walisema kuwa kutakuwa nankufungwa kwa huduma mpaka jtatu.Ilibidi kujiongeza kufanya miamala kabla..na kwa taarifa yako maboresho yanaweza kukamilika jumatano.
Total Overhauling is not accepted...at least wangeruhusu transfering
 
Mkuu hao jamaa si walitangaza juzi kati kuwa watafunga matawi yao kwa ajili ya maboresho ya mfumo? Au taarifa hukuipata mkuu?
Taarifa sikuipata, lakini hata ningeipata sio fair...kama benki yao ina shida walipaswa waruhusu remittance ili niweke pesa katika benki nyingine wao wasolve issues zao
 
Yaani wewe na ujanja wote unategemea bank moja?
Naweza kuwa na benki hata zaidi ya mbili lakini vipi kama CRDB waliingia mkataba na kampuni moja kwa moja na transaction ni za direct? Imagine kama unawalipa watu waendelee na kazi...jiongeze Sheikh
 
Wake kwa Waume habari zenu.

Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo

Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.

Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola

Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma

Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?
Mkurugenzi wao Nsekela ashakuwa Chawa kila leo kwenye siasa. Hakuna Professionalism nikulamba makalio ya Wakubwa.
Political itaiua sana Benki hii, Mwenzake Zai wa NMB very smart.
 
Habari njema! Huduma ya SimBanking imerejea. Sasa unaweza kufanya miamala yako ya kutuma pesa na kufanya malipo kupitia SimBanking kama kawaida. Asante kwa uvumilivu wako wakati huu wa maboresho ya mfumo wetu.
 
Habari njema! Huduma ya SimBanking imerejea. Sasa unaweza kufanya miamala yako ya kutuma pesa na kufanya malipo kupitia SimBanking kama kawaida. Asante kwa uvumilivu wako wakati huu wa maboresho ya mfumo wetu.
Hamna kitu Qumamae wasenge hawa.

Network ikirudi naenda kutoa mpunga wangu wote,

sasa sijui nitahamia benki gani, benki ipi haina makandokando?
 
Yaani wewe na ujanja wote unategemea bank moja?
Kwamba mtu unatakiwa utumie Bank ngapi ? Na maisha haya ya Vikoba na Mikopo isiyoisha majority hata hio moja ni mwendo wa pesa ikiingia ni sekunde imetoka.... (hayo ndio maisha ya majority, nchini Ujanja au lack of)

Kwahio hapa lawama zote ziende kwa CRDB kwa kutokuwa na Plan A, B, C na D ili kuhakikisha hakuna Kero yoyote kwa mtu na vijisenti vyake (nadhani tatizo ni sisi so called wajanja kutokuwabana hawa wapuuzi kila wakileta upuuzi kama huu)
 
Back
Top Bottom