CRDB hii Card Fee inatuumiza wateja!!!

CRDB hii Card Fee inatuumiza wateja!!!

Kwa hiyo kama acc za namna hiyo zikiwa mil 2, wanapata 2,000,000 x 16,000 = 32,000,000,000/= kwa mwaka.
 
Nilitangaza muda mrefu tu humu kuwa nauza vibubu naona mmenichunia,haya natangaza tena NAUZA VIBUBU VYA KUWEKEA HELA KWA BEI CHEE UNAJIPATIA
 
Huduma za kibenki za kijinga sana... Mi siku hizi naweka Mpesa tu, angalau hawa makato yao yako wazi na unaweza toa pesa yote ikabaki 0 balance!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom