bestboy
Senior Member
- Oct 18, 2012
- 195
- 199
Niende moja kwa moja kwenye mada husika, leo nilibahatika kupata muda na kutembelea ATM ya benki ninayotumia ya CRDB kwa lengo la kujua salio langu.
Kabla ya kuangalia salio nikaona nianze na kuomba statement ili nione mihamala ambayo nimeifanya kwa mara ya mwisho.
Statement ilipotoka niliona nimekatwa zaidi ya shilingi elfu kumi na tatu (13,568) ikionyesha ni ANNUAL CARD FEE.
Nimestushwa sana na hili maana ni mara ya kwanza toka nianze kutumia CRDB kwa miaka mingi iliyopita, naomba kama kuna anaefahamu juu ya makato haya anifahamishe zaidi.
Kama makato haya ni mapya inakuwaje wanatukata bila kutupa taarifa wateja wao?
Inasikitisha sana, nafikiria pia kufika kwenye tawi langu J3 kuonana na meneja kuoata maelezo zaidi.