CRDB hii Card Fee inatuumiza wateja!!!

CRDB hii Card Fee inatuumiza wateja!!!

Hata mimi inanisumbua kuielewa hii kitu nini mantiki yake. Kwa sababu kila huduma ninayoihitaji nalipia. Kuweka fedha nalipia, kuchukuwa nalipia (iwe counter au ATM). Sasa haya makato ya card fee mimi nayaona kama 'naporwa' hivi!!!

CRDB HEBU WALIANGALIE HILI. LINA UKAKASI. KUMBUKA PESA ZA WATEJA WANAKOPESHA NA KUTENGENEZA FAIDA.

Sent using Jamii Forums mobile app

huu ni wizi!
 
kila bank ina njia yake ya wizi jameni. UK zilipata shubiri yake maana zililimwa mamilioni ya pesa kitu kinaotwa PPI. watu walikula mpaka pound 7000. Na ma lawyer bure. huu ujinga lazima serikali iweke watu wa kuwasimamia hawa wezi kwaajili ya maslahi ya wateja.
 
Niliachana nao toka 2015. Kuverifie account ili utumie kwa transaction mtandaoni nilirudi bank twice mara kadi inagoma,mara niandike barua ujinga ujinga tu. mara ya 3 nikakomba hela zote nikatokomea equity.
 
Hata mimi nafikiri kusepa, kuna haja ya kuhamia benki nyingine, wanazingua sana
 
Uko sahihi, namimi walinifanyia hvo, nikawatumia email wakanijbu hvView attachment 988727View attachment 988729
Walichokielezea humu ni tofauti na walichokifanya, mm kila mwezi wanakata makato ya mwezi ya shlng 1800, lakini na hyo 7999 nayo wamechukua... Nilijiuliza sana juu ya hyo card fee nikidhani ni mm peke yangu ndiye niliyekatwa kumbe tuko wengi.
Hapa ni kwenda kutoa hela zangu zote na kuhamia benki nyingine tu ndio suluhisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilikuwa naangalia bank statement yangu, nikakuta hawa CRDB wamekwangua shilingi 7999 kwenye account yangu eti card fee, hii card fee ya nini wakati mimi nakatwa hela kila ninapofanya muamala?
Halafu kibaya zaidi hawa jamaa hawawatangazii wateja wanapoweka fee hizo au kuziongeza
Kumiliki Kadi si ni sehemu ya huduma, ya Kibenki mbona mimi nikiweka pesa zangu manazizunguusha na kupiga mafaida kibao kwa kukopesha watu iweje huduma basic kama kadi mtutoze pesa zote hizo.

Ndugu wana JF mkipata muda chungulieni account zenu , ombeni na bank statement hawa jamaa wanakwangua hela ndefu wanayoita cardfee.

Jamaa wanashiriki kwenye kuyafanya maisha yetu yawe magumu!!

CRDB msitafute hela kiujanja!!!
Kwani ile kesi ya CRDB na JamiiForum imeshamalizika,,,,,🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Walichokielezea humu ni tofauti na walichokifanya, mm kila mwezi wanakata makato ya mwezi ya shlng 1800, lakini na hyo 7999 nayo wamechukua... Nilijiuliza sana juu ya hyo card fee nikidhani ni mm peke yangu ndiye niliyekatwa kumbe tuko wengi.
Hapa ni kwenda kutoa hela zangu zote na kuhamia benki nyingine tu ndio suluhisho

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kama wanakata 7999 kwa miezi sita maana yake ni kwamba wanajichukulia bure 1300 kila mwezi. Then kuna hayo makato ya kila mwezi ya 1800 maana yake total wanajichukulia shilingi 3100 kila mwezi.
Ukiachilia mbali na hilo kila ukifanya muamala wanakwangua hela ndefu, na walivyo wajanja ukitaka kutoa milioni 1 lazima utoe laki nne, then utoe laki nne then utoe laki mbili, Kila ukitoa ni makato

HAWA JAMAA WANATUFANYA SISI NG'OMBE WA KUKAMUA MAZIWA
 
Wanakera sana, card yangu sijaitumia kwa mda wa miez kama 6 hivi, sasa juz nmeongeza hela naangalia balance nakuta kama 10000+ wamekata, nikaenda bank nikawaelekeza wanasema card fee wanakata 1000 kila mwezi. Bye bye CRDB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu pale unapopata tatizo ni wazito kutatua kwa haraka,hela yangu bora niweke uvunguni tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom