CRDB hii Card Fee inatuumiza wateja!!!

CRDB hii Card Fee inatuumiza wateja!!!

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
16,929
Reaction score
62,643
Leo nilikuwa naangalia bank statement yangu, nikakuta hawa CRDB wamekwangua shilingi 7999 kwenye account yangu eti card fee, hii card fee ya nini wakati mimi nakatwa hela kila ninapofanya muamala?
Halafu kibaya zaidi hawa jamaa hawawatangazii wateja wanapoweka fee hizo au kuziongeza
Kumiliki Kadi si ni sehemu ya huduma, ya Kibenki mbona mimi nikiweka pesa zangu manazizunguusha na kupiga mafaida kibao kwa kukopesha watu iweje huduma basic kama kadi mtutoze pesa zote hizo.

Ndugu wana JF mkipata muda chungulieni account zenu , ombeni na bank statement hawa jamaa wanakwangua hela ndefu wanayoita cardfee.

Jamaa wanashiriki kwenye kuyafanya maisha yetu yawe magumu!!

CRDB msitafute hela kiujanja!!!
 
Serikali iko hoi kifedha, sasa kinachofanyika ni kuumiza wananchi maana kodi ni nyingi sana siku hizi bado kodi ya kichwa tu

Viwanda naona vimeota mbawa maana tungekuwa tunapata makodi makubwa makubwa bila kusumbua wananchi

2020 John Walker out
 
Nina mpango wa kubakiza ikiwezeka -ve balance sijui watakata nini acha waendelee watatutafuta tena kwa gharama zingine za promo na matangazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hatari sana ndugu yangu, Card ya benki huwa ni huduma ya kibenki ambayo mteja inabidi awe nayo sasa hawa jamaa huduma basic kabisa kama hiyo kwa nini uchaji hela?, sasa hawa jamaa wamegeuza sisi kuweka pesa zetu benki sehemu ya kutukamua!. Buku Nane ni hela nyingi sana, hawa jamaa vipi?
 
Leo nilikuwa naangalia bank statement yangu, nikakuta hawa CRDB wamekwangua shilingi 7999 kwenye account yangu eti card fee, hii card fee ya nini wakati mimi nakatwa hela kila ninapofanya muamala?
Halafu kibaya zaidi hawa jamaa hawawatangazii wateja wanapoweka fee hizo au kuziongeza
Kumiliki Kadi si ni sehemu ya huduma, ya Kibenki mbona mimi nikiweka pesa zangu manazizunguusha na kupiga mafaida kibao kwa kukopesha watu iweje huduma basic kama kadi mtutoze pesa zote hizo.

Ndugu wana JF mkipata muda chungulieni account zenu , ombeni na bank statement hawa jamaa wanakwangua hela ndefu wanayoita cardfee.

Jamaa wanashiriki kwenye kuyafanya maisha yetu yawe magumu!!

CRDB msitafute hela kiujanja!!!
Uko sahihi, namimi walinifanyia hvo, nikawatumia email wakanijbu hv
Screenshot_20190107-182923.jpg
Screenshot_20190107-182930.jpg
 
Na usipokua na kadi kila ukienda kutoa pesa yako dirishani unalipia si chini ya 2000/=
 
bora utolee dirishani hela za kutosha ukae nazo ndani kuliko kukatwakatwa pesa kwenye ATM halafu kuna hii tozo ya 7999.

Aisee CRDB tunatafutana ubaya acheni tabia za ajabuajabu hii ni nchi ya watu masikini msitukamue tutatoa fedha zetu na kuzitunza ndani ya nyumba zetu ebo!
 
Asante mkuu ngoja nicheq nijiandae kufunga acaunt
Leo nilikuwa naangalia bank statement yangu, nikakuta hawa CRDB wamekwangua shilingi 7999 kwenye account yangu eti card fee, hii card fee ya nini wakati mimi nakatwa hela kila ninapofanya muamala?
Halafu kibaya zaidi hawa jamaa hawawatangazii wateja wanapoweka fee hizo au kuziongeza
Kumiliki Kadi si ni sehemu ya huduma, ya Kibenki mbona mimi nikiweka pesa zangu manazizunguusha na kupiga mafaida kibao kwa kukopesha watu iweje huduma basic kama kadi mtutoze pesa zote hizo.

Ndugu wana JF mkipata muda chungulieni account zenu , ombeni na bank statement hawa jamaa wanakwangua hela ndefu wanayoita cardfee.

Jamaa wanashiriki kwenye kuyafanya maisha yetu yawe magumu!!

CRDB msitafute hela kiujanja!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu ngoja nicheq nijiandae kufunga acaunt
Leo nilikuwa naangalia bank statement yangu, nikakuta hawa CRDB wamekwangua shilingi 7999 kwenye account yangu eti card fee, hii card fee ya nini wakati mimi nakatwa hela kila ninapofanya muamala?
Halafu kibaya zaidi hawa jamaa hawawatangazii wateja wanapoweka fee hizo au kuziongeza
Kumiliki Kadi si ni sehemu ya huduma, ya Kibenki mbona mimi nikiweka pesa zangu manazizunguusha na kupiga mafaida kibao kwa kukopesha watu iweje huduma basic kama kadi mtutoze pesa zote hizo.

Ndugu wana JF mkipata muda chungulieni account zenu , ombeni na bank statement hawa jamaa wanakwangua hela ndefu wanayoita cardfee.

Jamaa wanashiriki kwenye kuyafanya maisha yetu yawe magumu!!

CRDB msitafute hela kiujanja!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu ngoja nicheq nijiandae kufunga acaunt
Leo nilikuwa naangalia bank statement yangu, nikakuta hawa CRDB wamekwangua shilingi 7999 kwenye account yangu eti card fee, hii card fee ya nini wakati mimi nakatwa hela kila ninapofanya muamala?
Halafu kibaya zaidi hawa jamaa hawawatangazii wateja wanapoweka fee hizo au kuziongeza
Kumiliki Kadi si ni sehemu ya huduma, ya Kibenki mbona mimi nikiweka pesa zangu manazizunguusha na kupiga mafaida kibao kwa kukopesha watu iweje huduma basic kama kadi mtutoze pesa zote hizo.

Ndugu wana JF mkipata muda chungulieni account zenu , ombeni na bank statement hawa jamaa wanakwangua hela ndefu wanayoita cardfee.

Jamaa wanashiriki kwenye kuyafanya maisha yetu yawe magumu!!

CRDB msitafute hela kiujanja!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilikuwa naangalia bank statement yangu, nikakuta hawa CRDB wamekwangua shilingi 7999 kwenye account yangu eti card fee, hii card fee ya nini wakati mimi nakatwa hela kila ninapofanya muamala?
Halafu kibaya zaidi hawa jamaa hawawatangazii wateja wanapoweka fee hizo au kuziongeza
Kumiliki Kadi si ni sehemu ya huduma, ya Kibenki mbona mimi nikiweka pesa zangu manazizunguusha na kupiga mafaida kibao kwa kukopesha watu iweje huduma basic kama kadi mtutoze pesa zote hizo.

Ndugu wana JF mkipata muda chungulieni account zenu , ombeni na bank statement hawa jamaa wanakwangua hela ndefu wanayoita cardfee.

Jamaa wanashiriki kwenye kuyafanya maisha yetu yawe magumu!!

CRDB msitafute hela kiujanja!!!
Hata mimi inanisumbua kuielewa hii kitu nini mantiki yake. Kwa sababu kila huduma ninayoihitaji nalipia. Kuweka fedha nalipia, kuchukuwa nalipia (iwe counter au ATM). Sasa haya makato ya card fee mimi nayaona kama 'naporwa' hivi!!!

CRDB HEBU WALIANGALIE HILI. LINA UKAKASI. KUMBUKA PESA ZA WATEJA WANAKOPESHA NA KUTENGENEZA FAIDA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hamjawahi sikia Equity bank...si kufungua account kiwango chochote wala hamna makato ya kijinga

READERS ARE LEADERS
cc
VITABU
 
Kuna study ilifanywa mwaka 2017 na hawa jamaa wa Finscope ikaonyesha asilimia kubwa sana ya watanzania wanaweka fedha nyumbani au kwenye taasisi zisizo rasmi. Nahofia hali hii kuzidi kushamiri kama benki zitaendelea kutoza gharama za hovyo hovyo namna hii..
 
Leo nilikuwa naangalia bank statement yangu, nikakuta hawa CRDB wamekwangua shilingi 7999 kwenye account yangu eti card fee, hii card fee ya nini wakati mimi nakatwa hela kila ninapofanya muamala?
Halafu kibaya zaidi hawa jamaa hawawatangazii wateja wanapoweka fee hizo au kuziongeza
Kumiliki Kadi si ni sehemu ya huduma, ya Kibenki mbona mimi nikiweka pesa zangu manazizunguusha na kupiga mafaida kibao kwa kukopesha watu iweje huduma basic kama kadi mtutoze pesa zote hizo.

Ndugu wana JF mkipata muda chungulieni account zenu , ombeni na bank statement hawa jamaa wanakwangua hela ndefu wanayoita cardfee.

Jamaa wanashiriki kwenye kuyafanya maisha yetu yawe magumu!!

CRDB msitafute hela kiujanja!!!
.
Hiyo ni ''wake-up call'' kwamba ni muda wa kuwekeza hela zako badala ya kuweka bank zikiwa hazizalishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom