Mss
Member
- Aug 15, 2015
- 64
- 34
Mkuu unatumia benk gani naona CRDB wengi wameshapataDah mimi leo n siku y tatu nasubiri tu salary lkn hawajaingiza mpaka dakika hii na ni mtumishi wa serikali hela. Zilitoka tarehe 24
Mkuu unatumia benk gani naona CRDB wengi wameshapataDah mimi leo n siku y tatu nasubiri tu salary lkn hawajaingiza mpaka dakika hii na ni mtumishi wa serikali hela. Zilitoka tarehe 24
Mkuu nafarijika kusikia wengi hatujapata mimi pia cjapata natumia benki ya Posta nadhani tusubr mpaka kufikia j4 wanaweza kutuwekea. Pole broNipo CRDB branch ya SEngerma hatujapata hadi sasa@Mss
Funga account yako huo ni wizi mkubwa au tafuta mwizi wako achukuliwe hatua asiwaibie wengine.Kwa sim banking yao nilitoa 3,390,000/- Wakanikata 640,000/-Sasa huu si wizi huu wa mchana??SINA HAMU NAO TENA MAISHA NA HUWA NAWASHAURI WATU WASIITUMIE KWANI NI UBABABISHAJI NA WIZI?
WEKENI WAZI SERVICE AMMOUNT ZENU SIO UJANJA UJANJA TU!0656880804
Mbona mishahara iliyopita walikuwa wanalipa kwa wakati lkn nashangaa mwezi huu uzembe mwingi umefanyikaMkuu nafarijika kusikia wengi hatujapata mimi pia cjapata natumia benki ya Posta nadhani tusubr mpaka kufikia j4 wanaweza kutuwekea. Pole bro