CRDB acheni kuchezea pesa zetu wateja

mkatagogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
229
43
Hii Benki itazamwe kwa jicho la ziada na serikali maana kuna uhuni mwingi unafanyika na kukwaza wateja.

Unakuwa na kias kikubwa benki lkn ukiangalia salio unakuta hakuna pesa ukifanya hivyo baadae unakuta pesa IMO wakati mwingine ukitaka kutumia huduma ya simbanking unaambiwa huna salio hata kama statement yako kuna ela za kutosha badiliken msipofanya hivyo kiama kinakuja.
 
Aisee hii benk nadhani ichunguzwe. Last week mtu kalipa PAYE kupitia CRDB 6million wanampa risiti ya shilingi 6!! Halafu hawaweki pesa kwenye account ya TRA! This bank kwa kweli haifai.
 
Afrika huduma za kibenki ambako niliona zinafanya kazi efficient ni Afrika Kusini, Tanzania sijawahi kuona benki yenye afadhali!
 
Wabadilike maana nyakati zinazokuja si nzur kuendesha bank kiujanja janja
 
Crdb ni benki siyo ni shirika la msaada. Ni lazima wahakikishe faida kwanza. Au weka fedha deposit acc upate faida.
 
Hii Benki itazamwe kwa jicho la ziada na serikali maana kuna uhuni mwingi unafanyika na kukwaza wateja.

Unakuwa na kias kikubwa benki lkn ukiangalia salio unakuta hakuna pesa ukifanya hivyo baadae unakuta pesa IMO wakati mwingine ukitaka kutumia huduma ya simbanking unaambiwa huna salio hata kama statement yako kuna ela za kutosha badiliken msipofanya hivyo kiama kinakuja.
Kuna maboresho walikuwa wanafanya kwenye huduma yao ya simbaking sio kwamba wamechukua pesa
 
Mkatagogo, Kama unatumia mtandao wa Voda lazima uwe na salio la maongezi ndo uweze kutumia Simbanking ila kwa mitandao mingine sio lazima uwe na salio, Hata mimi imewahi kunitokea sana.
 
Kwa sim banking yao nilitoa 3,390,000/- Wakanikata 640,000/-Sasa huu si wizi huu wa mchana??SINA HAMU NAO TENA MAISHA NA HUWA NAWASHAURI WATU WASIITUMIE KWANI NI UBABABISHAJI NA WIZI?
WEKENI WAZI SERVICE AMMOUNT ZENU SIO UJANJA UJANJA TU!0656880804
 
Hapa moshi kila nikitaka kutoa pesa nakutana na tatizo la network,..cjatoa pesa kwa mda wa mwezi sasa.
 
Back
Top Bottom