Crazy Things You Did In Sec School


Invisible

Invisible

Admin
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,104
Likes
603
Points
280
Invisible

Invisible

Admin
Joined Feb 11, 2006
9,104 603 280
~ Got chased by the headteacher and deputy head, a whole crowd of us in school uniform where in one area our school had been forbidden to enter by the school otherwise could result in expulsion, only 2 were caught, thank God I was not part of the two...

~ You used my camera to take photos of your sleeping friends, especially when they were drooling and posted it on the announcement boards...

~ Used to sneak out of school all the time as a day student and buy foodstuff that were all contraband...

~Would go to the dining hall before the lunch bell goes...

~ Used to write rylics of the artists of your preference... (remember 2Pac, Bob Marley?)

~ Ulizoea kujiandikia barua ili uonekane wewe ni mpokeaji mzuri wa barua.

~ Ukitumiwa EMS au TMO basi wewe unaonekana Baab kubwa!

~ Kuchomekea shati ilikuwa kero kwako, ulifanya hivyo wakati wa kukaguliwa Jumatatu baadae 'unapiga chini'.

~ Kufua soksi ilikuwa kero sana kwako, ulikuwa unazivaa mara 5 kwa wiki kisha unazifua Jumamosi (ukiwa na pair moja).

Hizi ni baadhi, tena nyingi ni kwa upande wa wanaume... Ladies, what you used to do (crazy ones pls).
 
N'yadikwa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Messages
3,573
Likes
2,919
Points
280
N'yadikwa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2014
3,573 2,919 280
Nilikuwa fundi baiskeli za wanafunzi wa Day,nilitunza Patex yangu kajinyundo,spana Malaya, msasa na tyubu ya pechi bila kusahau kiwembe... Wakati wa breki naenda maegesho ya baiskeli kukagua ipi ina pancha kimsingi nilizimaki baiskeli nyingi hasa zile vimeo...za maandazi (vitairi) kwa mama Gwantwa hazikuwahi kukosekana...that wasn't crazy though! Jasiri haachi asili bado nagonga nyundo hata leo and I like every moment I screw up somebody's broken car...
 
dottoz

dottoz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Messages
1,283
Likes
591
Points
280
Age
25
dottoz

dottoz

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2012
1,283 591 280
~Ulitengeneza water heater kwa kutumia spring za vitanda. Usiku wa manane unachemsha mahindi ya shamba la shule. Container la kuchemshia mahindi ni plastic la nje la chupa ya chai iliyoondolewa flask yake, inashikiliwa upside-down, i.e mfuniko ndo unakuwa base, na bottom yake inafunguliwa kuwa ndo mdomo wa 'sufuria' lako. Heater inawekwa kwanza katikati, then mahindi yanakatwa vipande na kupangwa around the heater.

Ukimaliza kuchemsha unarudisha waya wa umeme juu ya dari ambako ndiko connection ilikofanyika, kwani ni marufuku kutumia umeme wa socket!
Duuuuuu mkuu hii ni kiboko ,,nimetokea kukubali aiseee kwa mbinu hyo ya kutumia umeme nyie nouuma.
 
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
8,161
Likes
14,330
Points
280
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
8,161 14,330 280
Duuhh Hatari me sitasahau siku mwanafunzi alivyokunya bafuni manake Hizo stiki zake si za Nchi hii
Hahahaha,umenikumbusha hata sisi kuna lijinga liliwahi kunya bafuni (bafu za kisasa hamna tundu)

Kuna kipindi hatukua na maji kuna mijitu ikawa inakula sana,afu inaenda kunya bila ku frush wala kujitawaza
 
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
8,161
Likes
14,330
Points
280
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
8,161 14,330 280
Form one nilienda na boxer zangu 7 ,nikakuta wahuni wana boxer moja moja si wakaniibia zote,kila ukianika hukuti
 
dottoz

dottoz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Messages
1,283
Likes
591
Points
280
Age
25
dottoz

dottoz

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2012
1,283 591 280
Unachukua makande mchana unayatunza hadi kesho kesho upige na uji
Hahahaha,achana na makand3 hata ubwabwa pia unautunza af kesho yake asubuhi unaupga na uji au unauchanganya kwa pamoja uji na ubwabwa..,
Yan hatari tupu af chakushangaza hata tumbo haliumi wala ubwabwà kuchacha....
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,490
Likes
5,469
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,490 5,469 280
Ndanda boys high school, weekend tulikua tunaenda masasi na washkaji zangu wawili tukiwa tumevaa suruali zetu nyekundu, mashati ya tomato na tai zetu . Tulisikia masasi girls wanatokaga pass jumamos wanaenda town halafu huwa wanawashobokea Ndanda boys kwaio sisi tulikua tunaulamba uniform then tunaenda kuzugazuga town. Kiukweli tulikua tunauza sana.
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,490
Likes
5,469
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,490 5,469 280
I was thief I steal mathematics books but when I finished form 4 I got F in math exam now I know there no advantage of being thief (Kingereza kilikuja na boat poooh)
Pole mkuu, f ya math? Daah kweli genealogy ya math imepita kushoto kwenye ukoo wenu
 
ZOPPA

ZOPPA

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Messages
2,500
Likes
2,446
Points
280
ZOPPA

ZOPPA

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2017
2,500 2,446 280
Enzi hizo nipo form 2 nakumbuka nipo bweni mida ya saa mbili nilikuwa na tumbo la kuala nilijinyea dalasani walimu wote waligoma kuingia dalasani sitosahau aisee kwaajiri ya mahalagwe yalio chaha
 
msomi uchwara

msomi uchwara

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
986
Likes
1,264
Points
180
msomi uchwara

msomi uchwara

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2017
986 1,264 180
Enzi hizo nipo form 2 nakumbuka nipo bweni mida ya saa mbili nilikuwa na tumbo la kuala nilijinyea dalasani walimu wote waligoma kuingia dalasani sitosahau aisee kwaajiri ya mahalagwe yalio chaha
Daaa,we jamaa wewe,kwaio ilikuaje
 
Despacito

Despacito

Member
Joined
Sep 18, 2017
Messages
19
Likes
21
Points
5
Despacito

Despacito

Member
Joined Sep 18, 2017
19 21 5
Nilikua kikojoz duuh it has been about 7 years now since the last time I wet the bed, bac wana wakawa wananambia nkijikojolea tena wananisemelea kwa crush yang hapo form 1 zilfanyka jitihada izo mpk nkaacha ksa nicsemwe kwa mtoto mzr
 
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Messages
12,522
Likes
4,501
Points
280
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2011
12,522 4,501 280
I see tulofanya hivi tupo wengi sana. Nilikuwa nikipata barua basi najua 'deal' hilo. Stamp itatumika kwenda kwingine... Ufisadi ulianzia huku :)
Biashara ya kufuta stamp ni shiida
 
tinkanyarwele

tinkanyarwele

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Messages
1,061
Likes
836
Points
280
Age
46
tinkanyarwele

tinkanyarwele

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2016
1,061 836 280
hahahahahaha umenikumbusha mbaaaaali miaka yangu yote shuleni sikuwahi kutumia maji lakini cha ajabu nikirudi likizo situmii makaratasi.........kuna wakati magodoro unakuta limenyofolewa wamekwenda kujiswafia.
Jamani jamani magodor magodoro yetuuuuu, hakika ya kale dhahabu
 
tinkanyarwele

tinkanyarwele

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Messages
1,061
Likes
836
Points
280
Age
46
tinkanyarwele

tinkanyarwele

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2016
1,061 836 280
Nilichokigundua ni kwamba Watanzania haswa vijana tulipokuwa shuleni basi tabia zetu, mienendo yetu karbia yote ilikuwa sawa, nakumbuka enzi za shule siku za disco, ni ubishoo hadi basi, siku za mikusanyiko za sherehe za dini, za shule na pale shule X ilipokuwa inakutana na shule Y kwakweli hali ilikuwa ni tofauti(RUGAMBWA SECvs IHUNGO SEC) kwakweli hapa siwezi kusahau tulipokuwa tunakutana.
 
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Messages
6,873
Likes
8,023
Points
280
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2014
6,873 8,023 280
1.Kuna madogo walikuwa na tabia ya kuja kuiba zaga bwenini kwetu,leo wamebeba tisheti,kesho sabuni,keshokutwa sahani,tulipowagundua wala hatukuwauliza kitu,madogo wenyewe wakishua wanajifanya wamepinda kisa wanakula ganja,basi nkaa na kikosi kazi changu tukajadili cha kuwafanya,tukavizia visiting day wameletewa mazagazaga na mapokopoko ya kumwaga jumapili,jumatatu yake watu wako class tukarudi dorm tukawasafisha kila kitu mpaka mashuka,vunjavunja matranka beba nguo zote,Nido,Mabiskuti,nguo,juisi tukawaachia yunifomu,madaftari na vitabu,ilikuwa operesheni ya dakika kama 15 hivi alafu hao tukarudi class kama sio sio sisi vile.
 
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
8,161
Likes
14,330
Points
280
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
8,161 14,330 280
Back in the days mi na wanangu tulikua boarding school sasa karibu kila siku hatuli chakula cha skuli (hata ukiwa wali) usiku tunaenda kula chips au tambi nk tukirudi shule hatusomi ni stori tupu na kuchat thanks God group letu tukawa na div 1 na 2 basi

Kuna Dem nilivokua fm2 siku namuona tu nikampenda alikua chotara basi nikampa smart phone,canteen kila siku namlipia but nikawa namuogopa akanilia hela zangu akamaliza skul coz alikua form 4 aka fail akabaki home,
Aliniendesha sana kila atakacho nampa ,elfu 10 mpaka 50 najibana pocket money, nilivofika form 5 akaolewa then akani block whatsapp,
Dah toka kipindi kile simuamini kiumbe anayeitwaga mwanamke, na hata mahusiano yangu mengine yanadumu mpaka week 2 tu napiga chini
Nikikumbuka dah am sad
 
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Messages
6,873
Likes
8,023
Points
280
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2014
6,873 8,023 280
2.Kuna dogo alikuwa informer/snitch skuli ikawa kila mkifanya kitu bwenini au darasani anaenda kuripoti kwa displin masta tulipomgundua,tukavizia watu woote wako prepo tukarudi bwenini,tukatekenya tranka lake tukalifungua,ndani kaweka vitabu vyake,material na nguo kadhaa,tukamiminia bakuli la maharagwe na mchuzi wake alafu tukalifunga lile tranka then tukalitikisatikisa na kulisheki sheki vizuuri kabisa mpaka vitu vikajimiksi vizuri ndani,alafu hao tukarudi zetu klasi kujisomea.ebana jamaa alivyorudi alilia mpaka huruma,shida wengi walikuwa wanamchukia kwahyo wadau wakawa wanafurahia chini kwa chini na kuanzia hapo akakoma umbea,kama uko humu ndugu tusameheane ilikuwa utoto tu.
 

Forum statistics

Threads 1,237,176
Members 475,465
Posts 29,280,308