Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,482
Niliambia nina korona, nikipima tena sehemu nyingine tofauti nikaambia sina ndani siku tatu. Sijawahi kuhumwa.
Unajua nafanya kazi hapa Ningtingale Hospital na Madaktari mabingwa (Consultants) hapa UK mara moja kwa wiki (kujitolea) wenyewe hawajui tiba hata mbunge wangu hajui chochote.
Pia serikali ya UK inabahatisha. Watoto wavae barakoa, wasivae. Mwisho wa siku wakasema ni juu ya kila shule kufanya maamusi yao.
Aisee
Hata mimi sijawai kuhumwa ingawa nilifanyanga maamusi nisifae barakowa