Tendulkar222
Member
- Jun 1, 2012
- 34
- 45
Hata Rwanda haina vifoSasa P rais wetu anapambania wapi? Sisi tulianza kuripoti case ya kwanza nyuma ya uganda. Lakini elimu na mwongozo alioutoa Mseven umeifanya Uganda kuwa nchi pekee EA ambayo bado haijapata.mtu aliyekufa kwa covid 19. Hata hivyo maambulizi yanabaki kuwa chini kuliko nchi nyingine za EA.
Sasa je tudharau uwajibikaji wa m7? Ona Rwanda Paul is doing very great na ataanza kuingiza wagen very soon see where we are as a nation number of infected people is increasing by double digits.
Do ypu still think it's ok?
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane. Huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane. Huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao.
Kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?
P
Upo sahihiWatu wote tungelikuwa vigilant kama Zito, labda hali ingelibadilika
Mkuu IQ ya mtu na kinyume chake haipimwi maabara! Rais ni muajiriwa hivyo anakituo chake cha kazi ndiko anakotakiwa kuwepo!Sasa atoke Chato aje wapi? Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, Dar, Mtwara, Iringa au? kama anaweza kuwepo sehemu moja kwa wakati mmoja basi ata Chato sio shida.
Muhimu strategies ziwe na mrejesho chanya.
Kuna controversy nyingi sana wakati huu, ukimya wa mkuu hausaidii zaidi ya kuongeza panic.Ndugu yangu, hii vita haipigani kama vita ya msituni ambayo adui anajulikana na kuonekana, you are fighting an invisible killer. Rais anaweza kuwa in contact na idara zote na watumishi wote 24/7.
Hoja ya yeye kuwa kwenye camera kila saa na kila dakika haina mashiko, haimaanishi kama rais akionekana ndio tutashinda vita au tutashindwa vita ya COVID-19. Nini maana ya waziri mkuu, nini maana ya waziri wa afya, nini maana ya mganga mkuu na wataalamu wote wa magonjwa nchini?
Mkuu Gf Son Win, uhai umeumbwa na kifo pia kimeumbwa. Kila anayekufa ndio siku yake imefika, hivyo Uganda na Rwanda, hakuna vifo sio kwasababu ya hatua zilifuatwa na Kagame na Museveni ndio zimezuia vifo, vifo ni kazi ya Mungu na havizuiliki, tena hata hapa Tanzania ni kazi tuu ya Mungu, WHO wali predicts vifo 300, within the 1st month, lakini sisi kwetu vimetokea vifo 10 tuu!, ni ni kazi ya Mungu.Sasa P rais wetu anapambania wapi? Sisi tulianza kuripoti case ya kwanza nyuma ya uganda. Lakini elimu na mwongozo alioutoa Mseven umeifanya Uganda kuwa nchi pekee EA ambayo bado haijapata.mtu aliyekufa kwa covid 19. Hata hivyo maambulizi yanabaki kuwa chini kuliko nchi nyingine za EA.
Sasa je tudharau uwajibikaji wa m7? Ona Rwanda Paul is doing very great na ataanza kuingiza wagen very soon see where we are as a nation number of infected people is increasing by double digits.
Do ypu still think it's ok?
Hivi sarcastic kwa Kiswahili ni nini vile... Kebehi au... Paskali unaongoza humu jukwaani. Wasiokusoma watakushambulia.Mkuu Mhe. Zitto, kwenye hili, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane. Huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Mkuu si ungejipa muda ukaelewa maana ya lockdown kwanza?
Lockdown haina maana ya watu kufungiwa vyumbani. Nchi zilizo kwenye lockdown, wakulima na shughuli muhimu zote zinaendelea wala hakuna watu wanaoteseka kwa kukosa chakula. Hizi tafsiri zenu mnapeana wapi?
Kabla ya ugonjwa kuingia serikali ilipaswa:
1. Kuzuia ndege na wasafiri tokea nchi zilizo kuwa na maambukizi.
2. Kuwaweka wageni wote tokea nje quarantine kwa siku 14 kabla ya kuwaruhusu kuingia nchini.
3. Kufunga mipaka kwa watu kupita (abiria) kasoro mizigo (kama kwingine wafanyavyo).
Hawakufanya hayo kwa uzembe wao japo waliambiwa sana. Ni kama wanavyoambiwa sasa hivi nini wafanye na bado hawachukui hatua na ugonjwa unazidi kusambaa.
Sasa ndugu yangu hapa unazungumzia lockdown au controlled migration. Huwezi kuzuia watu wasije nchini halafu hapo hapo unaruhusu watu wakalime na wakazalishe bidhaa viwandani. Hiyo sio lockdown kina Zitto &Co wanahubiri. Wenzako wanataka watu wafungiwe ndani kama kuku na wapewe Tshs 300,000 za kujikimu. Watanzania hayo hawayawezi, kama walivyoshidiwa South Africa, Ghana au hata USA, lockdown is a psychological time bomb.
Watanzania mnapenda kusikiliza wanasiasa ambao wengine sio wataalamu wa mambo wanayoyaongelea, leo hii nchi kama UK, Spain, France, na Italy wana mazao shambani ambayo yanakaribia muda wa kuvunwa na wavunaji hakuna, kisa nini, lockdown. Matokeo yake miezi michache ijayo nchi ambazo walikuwa wanagombea PPE na wengine kuibiana wataanza kupigana vikumbo wakinyanyana chakula.
Vitayetu ya corona inapigana kwa silaa ndogo sana na ya gharama nafuu ambayo ni BARAKOA (mask). Angalia wenzetu wa Czech Republic walivyofanikiwa kwa kutumia masks.
Strict measures—including compulsory face masks—help Czechs get grip on COVID-19 - Atlantic Council
Pascal Mayalla rafiki acha utoto, unisamehe! Utapambanaje hata gloves, mask, sabuni na maji huna? Mwenye kutoa vitu hivyo kafunga store haonekani?
Mna unite kivipi ebu twambie. Una unite wakati kauli anayo mtu mmoja hataki ushauri, how do you offer assistance? Kupanda kwenye pick up na msalaba kupita mitaani unaimba mapambio ya Bwana Yesu?
Shauri mtu afanyeje. Huyu Jiwe anaua watanzania and now we are going into millions some few days/weeks to come
"sisi tuliamua " wewe na nani? na ni lini mlifanya hayo maamuzi? Nani aliwateua na kwa utaratibu gani?Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao.
Kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?
P
How can we stand United as one while the ones who were suppose to lead and unite us against the disease are no where to be seen in the scene?Mkuu Mhe. Zitto, kwenye hili, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulaumiana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane. Huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united as one and fight as one unified army against one common enemy.
Corona: Tusinyoosheane vidole. Kama unaweza kusaidia, please do. Usisubiri uombwe - jitokeze saidia, vinginevyo nyamaza! - JamiiForums
P
Kwa hiyo unashauri kiongozi kuwa mstari wa nyuma wakati anaishi kwa kugharamiwa na kodi za wananchi.are you realy serious ?unakijua vizuri kiapo cha Rais ?Kipi bora zaidi kati ya rais kubaki Chatto ambako ni salama na kuongoza mapambano remotely au aje mstari wa mbele na ku risk kuambukizwa!
Watu tumeisha sikia the consequences za Corona kwa watu wenye underlying symptoms za magonjwa mengine that has to do with uwezo wa mwili ku produce antibodies against Corona virus, do we have to kumu exposure Amiri jeshi Mkuu wetu to such risks ili tuu watu waone?.
No, Amiri Jeshi Mkuu wetu abakie mahali salama for as long as it takes.
P
Kama ingekuwa hivyo basi kungekuwa hakuna haja ya kujenga ikuluSasa atoke Chato aje wapi? Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, Dar, Mtwara, Iringa au? kama anaweza kuwepo sehemu moja kwa wakati mmoja basi ata Chato sio shida.
Muhimu strategies ziwe na mrejesho chanya.
Kuna controversy nyingi sana wakati huu, ukimya wa mkuu hausaidii zaidi ya kuongeza panic.
Ilipaswa wakati huu ajitokeze ili kutupa wananchi uniting factor na motisha ya kuvuka kipindi hiki kigumu.
Invisible enemy huyo anapiganwa dunia nzima ina maana Trump na Kenyatta hawana mawaziri? Mpka wajitokeze kila wakati kutoa mrejesho.
Sasa makonda kasema lake, naibu waziri ndugulile lake, spika naye ana lake..... Hii chaos isingetokea kma Mkuu angetoa kauli yake! Hyo coordination unayosema iko wapi? Kungekua na hizi controversy tunazoona?
Case zinaongezeka, maybe maombi pekee hayajasaidia..... What's plan B? Big man bado haonekani, panic inazidi, then huoni kuna haja ya yeye kujitokeza kutoa way forward ili kutuepusha na hizi vutu nkuvute za viongozi wa kisiasa?
Ni ushamba wa wenu kutokujuwa serikali inafanyaje kazi, sio lazima mtu awe sehumu fulani ndio kazi inaendelea.