Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

Masaki na Binti maringo, you will make a perfect couple.......samahani kama ntakukwaza

Mbona CV ya Binti Maringo sina jamani....Hebu ishushe hapa! 🙂
 
binti maringo,mpole but maringo mengi ukitaka kumpata watafute wazee wa ngwasuma wakupe pamba na jinsi ya kutembea mikono na kifua kikiwa kimejaa bring bring sore kama nimemkwaza

mnyange sana
smart hadi upstairs
confident
anakulaga mbwa
anakunywa sana ulanzi
ukishangaa kukushika masiko utegemee sana....

I WILL B BACK FOR PART II
 
mnapendezeana sana nikicheki hiyo room ya uwani na nikimuangalia na binam...mbona ndo nyie nyie bana

preta sidhani kama fidel anapenda mambo ya rooz za uwani,kanipendea weusi wangu..eti si kweli fidel eeh
 
binti maringo,mpole but maringo mengi ukitaka kumpata watafute wazee wa ngwasuma wakupe pamba na jinsi ya kutembea mikono na kifua kikiwa kimejaa bring bring sore kama nimemkwaza

DAH twin umemkwaza shostito wangu
ila ana maringo hayo mengine unamsingizia
 
binti maringo,mpole but maringo mengi ukitaka kumpata watafute wazee wa ngwasuma wakupe pamba na jinsi ya kutembea mikono na kifua kikiwa kimejaa bring bring sore kama nimemkwaza

Hapo kwenye red umenikwaza! Yaani nivae kigoloko kama wazee wa ngwasuma?
icon10.gif
 
mnyange sana
smart hadi upstairs
confident
anakulaga mbwa
anakunywa sana ulanzi
ukishangaa kukushika masiko utegemee sana....

I WILL B BACK FOR PART II

Hapo kwenye red ni ''added advantage''!
icon10.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom