Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

mrefu kidogoooo,mwembamba kidogo,mlevi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,sema naniiiiiiiiiiiiiii,au unaweza kuges?

mtaje tafadhali haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..................................(nataka kugues bt naogopa sema basi twin......nasubiri)
 
mrefu kidogoooo,mwembamba kidogo,mlevi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,sema naniiiiiiiiiiiiiii,au unaweza kuges?

pearlllllllllllllllllllllllllllllllllllll nimepata au nimekosea😀😀
 
gues tu Twini,mlevi saaaaaaaana tena wa wa valuuuuuuuuu,sema nanii,mpenda totozzzz,Twin gesss
mtaje tafadhali haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..................................(nataka kugues bt naogopa sema basi twin......nasubiri)
 
Ulinikwaza wifi lakini nimekusamehe,Haya tugange yajayo.Mie bado nakupenda.
Enheee couple yako nani vileee? Fidel80?
Wifi Fidel80 wa Cheusimangala bana, wamependekezwa wawili siwakumbuki tena.
 
Unajua Cheusimangala kupitia hii sredi natamka wazi huwa unauumiza moyo wangu i realy love you mweh nihurumie mwana wa mwenzio naomba hifadhi ya moyo wangu kwako napiga hodi.[/QUOT
mmmmmmh yale yale?
 
gues tu Twini,mlevi saaaaaaaana tena wa wa valuuuuuuuuu,sema nanii,mpenda totozzzz,Twin gesss
Dah Pearl si useme tu Akili Kichwani? juzijuzi mlikuwa mnasheherekea Mkazi wange Search? au sio wewe Mkazi wange?
 
jamani akili kichwani ni mlokole si mwaji wa valuu wala mzee ya totozzzzzz,naona presssure inapanda pressure inashuka!
Dah Pearl si useme tu Akili Kichwani? juzijuzi mlikuwa mnasheherekea Mkazi wange Search? au sio wewe Mkazi wange?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom