Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 214
Bora wakutenge
Urafiki wa kuhamia mpaka kwenye himaya bana
Na naenda kumwambia na mchumba uliyemwacha kijijini
Yule walishamchukuaga wachunga ng'ombe... Ngoja nimwambie DA achague BEGA..
Bora wakutenge
Urafiki wa kuhamia mpaka kwenye himaya bana
Na naenda kumwambia na mchumba uliyemwacha kijijini
Yule walishamchukuaga wachunga ng'ombe... Ngoja nimwambie DA achague BEGA..
Afadhali kabisa
We achana na Dreamliner bana yule mchovu tuu hata mshiko hana
Na bwana mdogo yule hata mapenzi hajui
mama Tuli best yangu anajua huwa nachepuka nje wala hajali mradi natimiza majukumu kama mwanaume ndani ya nyumba yeye hana wasi wasi
Hilo liko wazi na unajua nachomaanisha
Hilo liko wazi na unajua nachomaanisha
Sio yule Mama tuli ninayemjua mimi....
duh....
Mbona hivi tena jamani? DA mambo niaje...
duh....
hebu tangaza hapa kama hutaachwa kweney mataa unauza sura
Yule walishamchukuaga wachunga ng'ombe... Ngoja nimwambie DA achague BEGA..
Preta vipi tena dear
Naona mmeingia kwenye "CHAGULAGA"
Subiri kidogo.. Naona kama kuna giza vile..
Umeona eeehhh
mambo taratibu yanabadilika
Sasa unatafutwa KULOGWA Mr. Rocky...
Sio hivyo Dear.. Huyu ndugu yangu kabisa wa damu.. Ila basi tu ananinyanyasa...
Nasikia vibaya... lakini bado..