Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 214
Giza tena sio nyota nyota
Nyota bado... Najipa moyo...
Giza tena sio nyota nyota
Nyota bado... Najipa moyo...
Preta Mambo niaje? Mbona umeguna?
Preta vipi tena dear
nawapenda nyote.....mbarikiwe sana....
Undugu wapi wewe
Ushakufa siku nyingi hapa natafuta niwasilishe vipi taarifa kule kijijini wasitishe kila kitu
nawapenda nyote.....mbarikiwe sana....
Kwa hy unaongea na Mzuka... Kweli niombe radhi.. Kama ni hivyo hata mtu mwenyewe basi.
Afadhali.. Maana ilishakuwa taabu... Ubarikiwe Mamii...
Angalia usikonde tuu kwa mawazo wakasema baadae una wire
Hebu kwanza tuma vocha ya buku tano fasta hapo nataka niwasiliane na DA
Fanya fasta basi
Utasubiri sana.. Ngoja kidogo Mkuu...
Hivi mimi sina mvuto hapa JF!
Yaani sina couple hadi sasa hv,
mmmmmh, kweli nina gundu!
:fish2:
Jinsia yako Me au Ke?
Ni swali muhimu.
Avatar yako inaonyesha u ngali mchanga...ukikua utampata tu!!!Hivi mimi sina mvuto hapa JF!
Yaani sina couple hadi sasa hv,
mmmmmh, kweli nina gundu!
:fish2:
Mimi ni KeJinsia yako Me au Ke?
Ni swali muhimu.
PRETA! naomba kukloz hii topic!