Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

hivi couples za JF ni fixed au tunaruhusiwa kubadili??na akina cameroon wanaruhusiwa au hapana?:bump2:
hahhaha
Watu akianza taja ID za cameroon hapa hapata tosha:washing:
 
Mama Tuli ni balaa anachunga mzigo wake na anakaba mpaka penalti
Ngoja si unajua njia zetu zile za kutoroka
Tunajipangia safari ya kwenda mwanza au serengeti mbugani huko tunasingizia kikao cha ofisini au mkutano wa chama
:fish2: tunaenda zetu ziwani

Mzee wa Hungumalwa mbona hv?
 
Wapi aise naona urafiki wa mashaka hapa
Sehemu ukishaingiza kinanihiii chako bana mimi naona soo kuingia tena hapo

Mimi bado..... Labda tukifika Lindi..... Lkn Urafiki uko palepale.... Kama ni hivyo ngoja nikuachie nirudi kwa zamani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom