Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

Nyimbo alizoimbisha "before'...huskika zikiwa "flat' after na kuumiza masikio..inabidi ukimbie!

So inabidi abadilibadili sio!
Kama alikuwa anakupeleka Sisi Kwa Sisi tu, akupeleke na Top-Life sio?
Aisee, msiige kila kitu, vingine noumer!
 
Basi tumeghairi.. Hatuendi tena.. Heri ya rafiki kuliko ndugu...

We naona unatafuta sababu za kutofika kijijini Hungumalwa tena
Na nitawaambia nyumbani pale kuwa wewe na mimi si marafiki tena wala ile nyumba tunayojenga kwa ajili ya familia zetu siitaki tena
 
We naona unatafuta sababu za kutofika kijijini Hungumalwa tena
Na nitawaambia nyumbani pale kuwa wewe na mimi si marafiki tena wala ile nyumba tunayojenga kwa ajili ya familia zetu siitaki tena

Duhhh!! Usikasirike.. Safari ndio tunaifikiria kuipanga lini twende... Mbona hv Bro... Watanitenga myumbani bana..
 
Duhhh!! Usikasirike.. Safari ndio tunaifikiria kuipanga lini twende... Mbona hv Bro... Watanitenga myumbani bana..

Bora wakutenge
Urafiki wa kuhamia mpaka kwenye himaya bana
Na naenda kumwambia na mchumba uliyemwacha kijijini
 
DA wala hataki Mshiko.. Wenyewe tmeshibana kama uji na mgonjwa..

Aise unadanganywa
Yaani anakuponda mbaya
Mwanaume suruali
Mwanaume sura
Mwanaume maneno
Mwanaume jina
Mwanaume knanihiii
Yaani unapondwa mbaya wacha tuu nisiendelee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom