Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

hivi couples za JF ni fixed au tunaruhusiwa kubadili??

na akina cameroon wanaruhusiwa au hapana?:bump2:
 
hivi couples za JF ni fixed au tunaruhusiwa kubadili??

na akina cameroon wanaruhusiwa au hapana?:bump2:

Acha kwenye autorun ili ikibadilika usishushiwe lawama....

Hapo penye nyekundu..... I hope ni BIG BLACK NO
 
Kuna mtu aliiba line yangu bana kw aweekend nzima nikakosa mawasiliano
Yaani leo asubuhi ndo kanirudishia
Mzima lakini dear 😛oa

Mzima kabisa dear sijui wewe.
:focus: Hivi Mama Tuli haonyeshi dalili ya kukuacha??
 
Mzima kabisa dear sijui wewe.
:focus: Hivi Mama Tuli haonyeshi dalili ya kukuacha??

Mama Tuli ni balaa anachunga mzigo wake na anakaba mpaka penalti
Ngoja si unajua njia zetu zile za kutoroka
Tunajipangia safari ya kwenda mwanza au serengeti mbugani huko tunasingizia kikao cha ofisini au mkutano wa chama
:fish2: tunaenda zetu ziwani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom