Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

kuna hii couple ilihit sana humu ndani......Hashycool na Nilham....sijui wamepotelea wapi.......

Preta mbona Hashy Cool anadai yupo so in LOVE saana na Michelle (Apart from Klorokwini na MTM - thou huyu yawezekana nimemuonea....lol) na aweza hata Mtema Halle Berry kwa ajili yake....
 
kuna hii couple ilihit sana humu ndani......Hashycool na Nilham....sijui wamepotelea wapi.......

Unakumbukkumbu wewe dah umenikumbusha mbali sana aisee na kile sijui ni kiarabu sijui kiislamu mweeehhh
 
Preta mbona Hashy Cool anadai yupo so in LOVE saana na Michelle (Apart from Klorokwini na MTM - thou huyu yawezekana nimemuonea....lol) na aweza hata Mtema Halle Berry kwa ajili yake....

ina maana Hashycool keshatemwa na Nilham......?.....
 
Hahahah weee mkorofi sana! Sasa mchungaji jamani si yuko huko visiwani jamani! Lol nilikuwa sijaiona hii nimetabasamu tu

hahaaa kigogo +birigita uwiiiii kutwa polisi hawa watakuwa waatoana ngeu daily
 
Tahadhari: Msije mkaunga couple za style ya CAMEROOOON
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom