Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

dahhhhhh
itabidi Kaizer aanze kuchngamka dear ..
uzuri kama huo kuupata tena ni kazi kwa kweli loohh
au ndo yale ya "Hall Pass" Preta ameona hiyo movie pia 🙂

ha ha.....Afro kumbe umeiona hii eeh.....ila kuna mahali ilinitia aibu kidogo....
 
Washawasha nitake radhi... I do have a Man, And I LOVE him.... and believe he LOVES me too....
Huyo jamma hata sijawahi msikia... Umeniudhi.... Na log off! lolz
Naomba unisamehe bi dada,sikuwa na nia mbaya,mie sikujua kama ushaolewa na mwanaume wa kiume, mie baada ya kuona avatar ya kiarabu nikajua jamaa katoka Libya kwahiyo atakuwa na full fedhwa alizoziacha Gadhafi.Nalog off
 
Washawasha wee ambae unakimbia kwa ku-log off hata pasipokimbilika... I know you meant no harm....lol... Nipe sifa za jamaa, naweza mfuata incase nikitendwa huku.....
 
Mzee wa NALOG OFF mambo niaje? Hapo nilishapigwa chini... Nasalimia tu, Baba...
Mambo mswano,pole sana kwa kupigwa chini ndio ukubwa huo usijali wala nini ,mapenzi kiti cha daladala ukishuka wenzio wanakaa,tafuta my girlfriend wako mpya ambaye utampenda kwa moyo wako wote.Nalog off
 
Mzee wa NALOG OFF mambo niaje? Hapo nilishapigwa chini... Nasalimia tu, Baba...

Dreamliner nilikupiga chini wapi?? wee you found i belong to someone tayari... lol

Nimerudi na RADI tatu, kila moja shilingi 500/=.. Naangalia ni nani wa kumlipua nayo... Subiri..

Dah! Namuonea huruma litalomwangukia aisee.... Best of Luck, na nitahitaji feedback.... Sweetie Kaizer atafurahi nikimuambia leo tumeonana... Hivo naomba utume salam nimpelekee....
 
Washawasha wee ambae unakimbia kwa ku-log off hata pasipokimbilika... I know you meant no harm....lol... Nipe sifa za jamaa, naweza mfuata incase nikitendwa huku.....
jamaa naogopa hata kuongea naye kwa hicho kiarabu cha kwenye avatar,inaonesha kiswahili bado hakijui,ila usihofu shem akikutenda rudi nyumbani, baba bado hajapangisha kile chumba chako,halafu kwa taratibu unaweza kukumbuka makoloni yako kama kina Dreamliner na wengineo.Nalog off
 
Dreamliner nilikupiga chini wapi?? wee you found i belong to someone tayari... lol

Dah! Namuonea huruma litalomwangukia aisee.... Best of Luck, na nitahitaji feedback.... Sweetie Kaizer atafurahi nikimuambia leo tumeonana... Hivo naomba utume salam nimpelekee....

Nalog off.
 
jamaa naogopa hata kuongea naye kwa hicho kiarabu cha kwenye avatar,inaonesha kiswahili bado hakijui,ila usihofu shem akikutenda rudi nyumbani, baba bado hajapangisha kile chumba chako,halafu kwa taratibu unaweza kukumbuka makoloni yako kama kina Dreamliner na wengineo.Nalog off

Washa mbona hio kali!! Unanisakazia kwa mtu hata wewe wamuogopa?? Dah! lol

Nalog off.

Dreamliner hata salamu jamani?? lol... Yaani umenigomea??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom