kwa mtazamo wangu ni kama ifuatavyo:
pakajimmy + WOS (familia itakuwa na adabu)
bht + balantanda (hilo halina mjadala)
pearl + drphone (imetulia)
MMK + FL1 (hawa ndugu watawaonea sana)
kigogo + birigita (mmhh)
Lilyflower + rayB (watacope)
Fidel + Maria Roza (hapa kutakesha)
Masanilo + Annina (mbona bibie atajiju)
Bado nitaendelea.......
Hivi NN kashachukuliwa wadau?
Thanx God Masanilo sasa ni Rev...
Annina
Thanx God Masanilo sasa ni Rev...
Annina
Natoka Sakina nikukute wapi twenda na mimi soweto?
Bado....niwahi kabla sijadakwa
Annina mbona unapotea sana lakini?
Mhhhhh karibu kwenye mikesha ya ibada!
Hahahaha!! Wewe Preta wewe....hii thread inahitaji updates.........
Hahahaha!! Wewe Preta wewe....
Hahahaha!! Wewe Preta wewe....
hii thread inahitaji updates.........
Hebu shusha nondo basi nakuaminia.......................
kuna hii couple mpya Dena......Kabakabana na Excellent......
kuna hii couple mpya Dena......Kabakabana na Excellent......
na nyingine nyingi tuu Preta
Mr Rocky na................................... (hapa utata sijui ni nani )