Couples za JF ni hizi...!

ha ha ha ha ha ha!! Charity nitake radhi kwanza.

ITV niliachaga kuangalia Tangu ilipoisha Ile Tamthilia ya second Chance!!
Sasa ulikuwa wapi kuona habari za michezo?ITV tu ndio hawakuonyesha.au na wewe ni mdumisha mila?
 
Ni wanafunzi wa dini...Yaani kama unaupokea ukristu katika hali ya utu uzima ni lazima upitie mafunzo ya ukatukumeni, ndo hatimaye unapokelewa katika kanisa..Hii ni kwa mujibu wa madhehebu ya RC!
Utawajua tu kwa maelezo yao!!
 
lini tumeanza kwenda mashine...?? tutanunua wa azam leo sichezi mbali....
 
The Following User Says Thank You to Kaizer For This Useful Post: Next Level (Today)

Huyu mtu kafufukuka?

.......ningali pamoja nanyi.........
!
Currently Active Users Viewing This Thread: 25 (9 members and 16 guests) Chrispin*, Ama, Charity+, Chongowela, Kimey, king1m, Magezi, MwanajamiiOne, Next Level

Huyu Hommie wa bwana harusi kashatoka gesti. Mbona hachangii sredi? Au hangover?
.....he!he!he! ''Moshi'' unagoma kunyooka.....kila tukipiga kura na kuchoma vikaratasi moshi unapinda......Pope hajapatikana hapa....so bado nipo secret room, sema washrooms kuna internet, so ikabidi nichepuke nipate chai kidogo hapa.......
!!

KWARESMA HII!kafunga kila kitu😀

....hommie refer hapo juu......Pope hajapatikana bado huku........uchaguzi mgumu sana........
!!!
 
...he!he!he! mpwa kwani kulikoni April 11? ....gozi nini? ss huwa sitaratibu zetu kuweka mpira kwapani mbona?.....kandambili ndo zao or sorry ...zenu......
!!!
 
naona hii thread tuiupdate....mambo yameongezeka humu jukwaani......hali ni tete kiujumla
 
naona hii thread tuiupdate....mambo yameongezeka humu jukwaani......hali ni tete kiujumla

Preta and Nyani Ngabu............... hakuna kulala hata kama hujala
 
Preta and Nyani Ngabu............... hakuna kulala hata kama hujala

NN atapata heart attack tu kwa theory ya kule kwamba unachofantasize ukikiona live unakuwa mpoole kabisa..Preta apa makeke tu....mwenyewe ana aibuuuuuuuuu:tape::tape:
 
NN atapata heart attack tu kwa theory ya kule kwamba unachofantasize ukikiona live unakuwa mpoole kabisa..Preta apa makeke tu....mwenyewe ana aibuuuuuuuuu:tape::tape:

Hebu acha ku playa hate bana. Preta ni top modo wa ukweli na charm yake ni ya kweli....

Sasa wewe nenda maktaba ukajifunze zaidi kuhusu isimu linganishi (comparative linguistics), sarufi elekezi (prescriptive grammar), na sarufi zalishi/fafanuzi (generative grammar) Lol :smile-big:
 
Una uhakika na usemalo juu ya Maxence? Ninamfahamu, ametulia, ni mchapa kazi, tena ameoa na anampenda sana mke wake. Sasa huu uvivu, uchonganishi na kupenda wake za watu IMETOKA WAPI?
 
NN atapata heart attack tu kwa theory ya kule kwamba unachofantasize ukikiona live unakuwa mpoole kabisa..Preta apa makeke tu....mwenyewe ana aibuuuuuuuuu:tape::tape:

Yaani mimi Preta kanikamata mbaya hata simchoki I wish nimwone maeneo ya fukwe za mbezi anaonekana ni bonge la Lady na mwelewa. Ila siwezi kuwa naye maana ntampenda kupitiliza nikawa Bushoke then akantesa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…