Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

Wat is Goeff insinyurating here lakini???
i have been thinking kwanin mnaitana kwa kifupi B?nimetumia time kutafakari nikaona bora niandike tu!....as usual I CAN'T CONNECT THEM DOTS tah much easier😀😀
kaizer upo?
 
hahaaaaa B......huh!!!

Kaizer saidia mpwa wako tafadhali lol!!! vinginevyo ntampa rula yangu imsaidie kuunga hizo dots
 
Nahisi ni kifupi cha Big Brother.
 
keshakimbia!sasa unaweza pata picha fulani au sio😀😀
 
Nahisi ni kifupi cha Big Brother.
ohoooooo!kumbe?
mimi nilidhani huyu bht amechanganyikiwa na balantanda kiasi cha kula mwanaume anamwita B😀😀

KAIZER UPO LAKINI?mbona umekuwa guest ghafla?
 
i have been thinking kwanin mnaitana kwa kifupi B?nimetumia time kutafakari nikaona bora niandike tu!....as usual I CAN'T CONNECT THEM DOTS tah much easier😀😀
kaizer upo?

nipo....

hahaaaaa B......huh!!!

Kaizer saidia mpwa wako tafadhali lol!!! vinginevyo ntampa rula yangu imsaidie kuunga hizo dots

hata kabla sijamsaidia, ameshaconclude hapa chini B! sasa huyo wa kusaidia kweli?

keshakimbia!sasa unaweza pata picha fulani au sio😀😀

sasa apo picha wanayo wenye vifupisho vyao....(hili tatizo la mning'inio hili)
 
nipo....

hata kabla sijamsaidia, ameshaconclude hapa chini B! sasa huyo wa kusaidia kweli?

sasa apo picha wanayo wenye vifupisho vyao....(hili tatizo la mning'inio hili)

hahaa B huyu nimemshtukia....ananing'inia huyu......wee mwache tu
 
ohoooooo!kumbe?
mimi nilidhani huyu bht amechanganyikiwa na balantanda kiasi cha kula mwanaume anamwita B😀😀

KAIZER UPO LAKINI?mbona umekuwa guest ghafla?

hahaaaa jamani Goeff mbona wewe sijakuita hivo??? unanisingizia eeeh....

ila kiukweli B chapa ya ng'ombe drives me crazy mpwa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom