Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

Habari kamanda,upo?,naona bado unasololea hapa...Vipi maendeleo lakini
nipo bro naona unaingia mida mibaya busy nini?tulikua tunapigana vikumbo na mwkjj hapa,mzigo wenyewe hata haupo around anyway kesho naenda kwenye masebene mda huu.
 
Kilichobakia kwa FL1 :Bi mdogo huko Jf kuna nini?huyu babu Mwanakjj kakufukuzia kule mnaita Pm ?hapana mme wangu,inakuwaje mbona siwaelewi elewi?honey trust me,how can i trust u?jamani mh mbona wanitilia mashaka mie nimjuavyo mwanakijiji najua ni kibabu hakina memo ya kumung'unya mifupa siasa imekichosha'kwa hiyo umekipendea nn ?pesa siasa ,porojo zake au mashairi yamekuvutia na kukuingia moyoni ?, honey unafika mbali sana ,no utanambia vizuri hapa sikuelewi,na hakakengine eti bbaukijana?kigugumizi naona unakoelekea u must quit Jf m
 
mhhhhh......
humu ndani nashindwa hata kwenda na
mabadiliko ya humu,sasa.
 
Unajua Cheusimangala kupitia hii sredi natamka wazi huwa unauumiza moyo wangu i realy love you mweh nihurumie mwana wa mwenzio naomba hifadhi ya moyo wangu kwako napiga hodi.

Ha ha ahaaaaaaaaaa, nice to meet u
 
mmh post namba 548 and still counting! well nilikuwa kijijini hiyo makala ya wasifu wetu iwapi?
 
mmh..hamjambo waungwana...wala naweza kupumua sasa....kusoma post 548 si nchezo
 
mmh..hamjambo waungwana...wala naweza kupumua sasa....kusoma post 548 si nchezo
At least nimethibitisha hommie hujambo, ngoja nirudi zangu kaunta!
Ulikuwa unafanyia wapi ze niidful? Moro au Usalule?
 
Kilichobakia kwa FL1 :Bi mdogo huko Jf kuna nini?huyu babu Mwanakjj kakufukuzia kule mnaita Pm ?hapana mme wangu,inakuwaje mbona siwaelewi elewi?honey trust me,how can i trust u?jamani mh mbona wanitilia mashaka mie nimjuavyo mwanakijiji najua ni kibabu hakina memo ya kumung'unya mifupa siasa imekichosha'kwa hiyo umekipendea nn ?pesa siasa ,porojo zake au mashairi yamekuvutia na kukuingia moyoni ?, honey unafika mbali sana ,no utanambia vizuri hapa sikuelewi,na hakakengine eti bbaukijana?kigugumizi naona unakoelekea u must quit Jf m

Hapa ndani iko kazi kama mmelisoma sakata la weekend hii hahahahaha🙂 niko Kisutu hapa mahakamani ...
 
kwani nani anamtania nani?

mie watu wananishangaza kwa kweeli
they have no idea hw much energy and effort we have invested here.......afu mtu anakuja tu anaona ni utani eti ipelekwe kwenye jokes........
 
mmh..hamjambo waungwana...wala naweza kupumua sasa....kusoma post 548 si nchezo
Binamu, welcom back, nini kujificha hivyo kwenye hayo majengo yanayojulikana na watu wengi au nguo zilikuwa zimelowekwa?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom