Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

nyie watu mnanitafuta vijineno

CK mimi nina mume tayari jana tena nikaongezewa 3 sasa huu si ufisadi wakati wengine hawana hata mmoja

hapo mi nimekosea wapi jamani??????

Mwaya haujakosea kitu chochote hapo,kwani kizuri si unakula na mwenzio.
 
hahaaaaa hujatulia wewe
sasa kuna ubaya kugawa wachumba nlopewa jana maana mie nin mume wangu B, bado mmenijazia wengine mie sihitaji.

kuna ubaya hapo?? dini yangu inaruhusu mume mmoja mke mmoja.......
bahati iliyoje kwa bht anaipenda na kuiheshimu IMANI yake lakini papo hapo anampenda mumewe(mchumba).....Congrats mwaya
 
bahati iliyoje kwa bht anaipenda na kuiheshimu IMANI yake lakini papo hapo anampenda mumewe(mchumba).....Congrats mwaya

Muheshimiwa spika naomba muongozo hapo kwenye red-Ni mume au mchumba.
 
bahati iliyoje kwa bht anaipenda na kuiheshimu IMANI yake lakini papo hapo anampenda mumewe(mchumba).....Congrats mwaya

mwaya hao ndo mabwana wawili nnaoweza kuwatumikia kwa pamoja!!!

Siyo vyote bana CK, vingine jilie mwenyewe kwa raha yako ukitaka kula na wengine walafi kama nini

hahaaaaa ICU leo inaelekea hujapokea majeruhi wa ajali za barabarani weweeee!!!
 
Siyo vyote bana CK, vingine jilie mwenyewe kwa raha yako ukitaka kula na wengine walafi kama nini

Ooooh,unataka kuharibu maneno ya wazee kwa kuweka maneno yako,Wenyewe hawakuweka exceptions na ndio maana wamasai hawakuwa na hiyana walishare everything,I mean everything.
 
Umeona sasa ndimu za jana zinakuumiza ehee!!!

sio za jana, nakunywa kabla ya sun-rise ili nisipate dehydration as am fasting!!! nzuri sana fide jaribu.....
 
hahaaaaa ICU leo inaelekea hujapokea majeruhi wa ajali za barabarani weweeee!!!
hehhe angalau madereva wamekuwa watiifu usiku wa jana, inaonyesha waumini wameanza kujua umuhimu wa kwaresima
 
Ooooh,unataka kuharibu maneno ya wazee kwa kuweka maneno yako,Wenyewe hawakuweka exceptions na ndio maana wamasai hawakuwa na hiyana walishare everything,I mean everything.
huwa mnawasingizia Wamasai tu, na zile habari za kuchomeka mkuki nje ya mlango, nao wana wivu jamani
 
Nashukuru Muheshimiwa spika kwa majibu yako mazuri,ningeshauri katibu ayaweke haya majibu katika ansad ya kikao chetu hiki cha leo.

Fidel do ze nidful.......weka hii maneno kwa hansadi sijui huyu anasema......
 
Ooooh,unataka kuharibu maneno ya wazee kwa kuweka maneno yako,Wenyewe hawakuweka exceptions na ndio maana wamasai hawakuwa na hiyana walishare everything,I mean everything.

nashukuru ndoa yangu haihusiani na huko ningekufa siku si zangu kwa presha
 
huwa mnawasingizia Wamasai tu, na zile habari za kuchomeka mkuki nje ya mlango, nao wana wivu jamani

Unaona sasa,unapokuwa na wivu inamaanisha hicho unachokionea wivu unakipenda,na imeandikwa mpe mwenzio kile unachokipenda.Nadhani ndo maana hawa jamaa wameweza kudumisha mila kwa muda mrefu kwa sababu waliweza kupeana wanavyovipenda.Sema amiiiin.
 
]Lilyflower + rayB ([watacope]
Fidel + Maria Roza (hapa kutakesha)

Senksi Pretta lol nshapewa ntu humu lakini mi naona hapo kwa Maria Roza labda Pape ndo watawezana-si unajua mambo yao watu wa motion pictures zaidi!!? teh teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom