FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
FL1,
uliza wengine wanapost wakiwa wapi
mabinamu mnapost mkiwa wapi?
Fidel80,Nguli,kaizer ,Geoff ,Birigita, Next Level ,cha wote bar
wengine??????????????
FL1,
uliza wengine wanapost wakiwa wapi
mabinamu mnapost mkiwa wapi?
Fidel80,Nguli,kaizer ,Geoff ,Birigita, Next Level ,cha wote bar
wengine??????????????
Umeguna au umestuka?weeeeeeeeee
Hebu kaangalie nimekugongea nini kwenye hii yuziful posti!yani PJ unaweza toka asubuhi asubuhi unawahi Keni bar au Florida kuwahi supu huku jana yake uliweka nanihii aka Malta?
kama ulikamata malta, unatakiwa unywe uji wa ulezi kabisa asubuhi, ndo vinafanana
Tell them pal? Hawajui kusoma katikati ya mistari hawa binadamu wenzetu. Kakague senksi kule.Aaah umeme wa mgao kwa hiyo bia bado hazipata ubaridi wa kutosha! Tunavuta muda!![]()
mnyange sana
smart hadi upstairs
confident
anakulaga mbwa
anakunywa sana ulanzi
ukishangaa kukushika masiko utegemee sana....
I WILL B BACK FOR PART II
Bao moja mpira wa nini?
Majibu ya Greti sinkas bana.........yana mantiki kweli kweli,Aaah umeme wa mgao kwa hiyo bia bado hazipata ubaridi wa kutosha! Tunavuta muda!![]()
binti maringo,mpole but maringo mengi ukitaka kumpata watafute wazee wa ngwasuma wakupe pamba na jinsi ya kutembea mikono na kifua kikiwa kimejaa bring bring sore kama nimemkwaza
Wengine tunapostia kanisani au hujui leo siku gani?mabinamu mnapost mkiwa wapi?
Fidel80,Nguli,kaizer ,Geoff ,Birigita, Next Level ,cha wote bar
wengine????????
Hahahahha!....chica yo made me laug so loud!...you know me very well!.....you rock shosti.....
Alinimechisha na Mwanaume Maria Rosa, afute hiyo thread vinginevyo na mchalanga mapanga kama niko Musoma! Ebooo
Aaah umeme wa mgao kwa hiyo bia bado hazipata ubaridi wa kutosha! Tunavuta muda!![]()
Hebu do the needful basi nawe.
Hehehe! This is name calling, You will be warned!
Majibu ya Greti sinkas bana.........yana mantiki kweli kweli,
bia za moto bana..........bia bia mkuu, iwe ya moto, ya baridi, thelengeti, mlima....
we gida, kwani matokeo huwa yana ubaridi au joto?
Wengine tunapostia kanisani au hujui leo siku gani?
Tufwate njiiiia yaaaa msalaaabaaa.
Tuifwateee mpaka kalvariooooo............
Alinimechisha na Mwanaume Maria Rosa, afute hiyo thread vinginevyo na mchalanga mapanga kama niko Musoma! Ebooo
hahaaa chica umeiona hiyo eeeh!!!
I do hun.....haya sasa....
majibu ya kujipa faraja haya........
kwani wewe wa tarime Masa???
Mbona umenishupalia sana nawee?bao lipi na mpira upi?? be precise plz!!!
Heeh! Kumbe mnapenda twende baa eeeh? Haya Chripin, Geoff, Bigirita, Fidel, Masanilo, the bar is now open.![]()
Mkuu, kupiga magoti kote kule unaweza kupost kweli!!Wengine tunapostia kanisani au hujui leo siku gani?
Tufwate njiiiia yaaaa msalaaabaaa.
Tuifwateee mpaka kalvariooooo............