Couple za shule ni shida

Sijapitia hayo Mimi..nasubiri wenye experience zao
 
we utakuwa songea boys nadhan. Mimi babu yako
 
Wanawake wengine ndo maana mnaliwa had tiGo kwa tamaa zenu.
Yan unamaanisha usingekuwa na huto tupesa ungejitongozesha kwa msela?
Tuliwe vyote tu ila mwanaume kama huna hela nakupa pole sana
Ndio ningemlegezea kamba kama kipendacho roho anacho kwa nini nimnyime haki yake buana
 
Duuu ww noma uliwapangaje wakajikubali kuliwa wote na wakat ukiwala ulifanyaje maana wanakuja wote kusoma
Ilikuwa rahisi sana, wote watatu walijikuta wanakuwa marafiki kinoma noma, na hadi leo ni mashosti kinoma noma. So walikuwa wanapitiana majumbani kwao wakiaga kuwa wanakwenda maktaba kujisomea, halafu wanakuja home, tunasoma kweli, kuanzia saa nne asubuhi hadi saa nane, wanapika pale home, tunakula, tukishashiba sasa, ni mtifuano hadi saa 12 jioni wanarudi makwao. Kwa wiki ilikuwa mara moja tu.
 
Hahaaa, hapo mwisho nimechekaa, kumbe muoga hivo,ntakua nakuchimba mikwara sasa, oyaaa ile ahadi unaikumbuka ama umezingua
 
Ambao tumeshasahau Kama tulipitia shule tuna- comment wapi?
 
kumbe we 3 some kumbe we kitambo,wakati huo hata hiyo term hujaijua baharia
 
Kama nakuona ulivyokua umeloa wakati barua inasomwa kwan alitaja na idadi ya goli ulizotupia kambani siku hiyo?
 
Hasara za uboyzin hizo.

Unakuwa na washkaji kibao lakin couple na wasichana unashindwa kutengeneza
 
Hasara za uboyzin hizo.

Unakuwa na washkaji kibao lakin couple na wasichana unashindwa kutengeneza
Kwel boys zinaadhiri sometimes nilisoma O level A level pia but afadhali O level wa pale walikua mixture ila day haikua rahisi kujichanganya na siwi na mahusiano ya kudumu yani nachukulia poa kinoma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…