mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 832
- 997
Huwa naficha weakness zangu kwa kua serious (yani kama defensive mechanism), too bad wadada wengi huwa hampendi mtu aliyeserious[emoji1][emoji1][emoji1] everytime i get nervous, shy, or fear automatically nakua seriousMmmh, polee imekuathiri till now, Mwenyewe ilikua changamoto kuwazoea wakaka aisee,nakumbuka tulienda jeshini Kwa mujibu Wa sheria ndyo nikakutana na wakaka, ile mnakaa nao pamoja na vibukta vifupi yaani,full aibuu
tupo alike aisee...Huwa naficha weakness zangu kwa kua serious (yani kama defensive mechanism), too bad wadada wengi huwa hampendi mtu aliyeserious[emoji1][emoji1][emoji1] everytime i get nervous, shy, or fear automatically nakua serious
matokeo yake mtu anaweza akaniogopa akati kiukweli namwogopa yeye[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi kuwa na couple shuleni na sitarajii.
Hii Ni principle yangu siku zote
Wanawake wengine ndo maana mnaliwa had tiGo kwa tamaa zenu.Kuna jamaa mmoja hivi aliwahi nitaka tukiwa form 3 mpaka namaliza o'level sikuwahi kumkubali pamoja nakutumia mbinu mbalimbali ila wapi sasa sikumoja nikaja kukutana nae mjini mbeya tukasalimiana nikimcheki hivi namuona si wa kawaida kabisa ikabidi nijiulizishe maswali vipi uko wapi sikuhizi akaniambia yuko Arusha anafanya biashara ya samaki anatoa mwanza anapeleka Arusha hana madoido wala nini kwa kuwa na mimi nilikuwa mwanafunzi huku nimepewa ofisi nisimamie sikushoboka kiivyo maana nilikuwa natupesa twa kunipa jeuri sikuomba hata namba
Nilianza form one nikiwa dogo sana, halafu kilaza.
Kufika form two nikaambiwa kuna kurudia darasa.
Nikakaza kinoma, mwezi wa sita nikaingia kumi bora huku nikiongoza katika ufaulu wa somo la hesabu.
Kufungua shule muhula wa pili nikaanza kuletewa maswali ya hesabu na vibinti nivisovie.
Lahaula, vitoto vinanukia balaa, vitoto vilaini hatari, vitoto chuchu saa sita, vitoto vinanikumbatia kinomanoma. Siendi shule na hela lakini narudi nimeshiba, kisa kusovu huko.
Nikaanza kuvila bwana, home niliishi na bro tu, ambaye nae alikuwa mtu wa kusafiri safiri sana. So nilivilia vyote home pindi bro asipokuwepo.
Vilikuwa vinajuana na havikuwa na noma, nilijua kusoma ndio kumenipa mademu, nilikomaa niijue na physics, maana tulikuwa na ticha wa hovyo kweli, tuition kama zote, hatimae form three science, mwendo ni ule ule, akaja ticha mmoja mgeni wa commerce kijana hivi, akaanza kuzungukia mizigo yangu na kunichimba mikwara ya kiboya boya kila tukikutana. Nikafuatilia hadi nikajua anakoishi, nikawa wikiendi naibuka mitaa hiyo, lahaula siku moja nikamnasa yupo na denti wa form four, nikajisogeza karibu kabisa ili aone nimemuona, nikamsalimia kihuni"ticha vp, naona unasindikiza" akajichekesha kifala, kuanzia siku hiyo watu wakashangaa akawa hanimaindi tena, maana anajua tulikuwa na headmaster mnoko kwa walimu wenzake hatari.
Form four nilihakikisha wachumba zangu watatu wote tunakwenda form 5 na tulikwenda.
Leo wameolewa wote na bado wananipenda, nikiomba sinyimwi.
Hakiba haiozi.
Aisee! Sometimes huwa nashukuru kuwa hivi, maana hii hali inaniepusha na vishawishi vingi sana[emoji23][emoji23]tupo alike aisee...
Huenda ni mkeo ujueAkiba haiozi ila siyo kwa wake za watu kijana ipo siku utaumia.
Nipo form 3 seminary x nikawa na karembo changu shule x kakatuma barua utaratibu wa hiyo seminary barua ikija inasomwa na padri wa nidham ndo ikufikie
Dahh ilikuwa ndo tumetoka likizo na likizo nilimpiga mti sasa alivyo kosea ile story yote ya mgegedo aliiandika mule na akaweka ahadi tukifunga tena tufanye zaid ya ile [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ile barua ikaja soma dining hall muda wa diner watu wametuliaaaaa hapo jina halija tajwa bado ila nikawa nishajijua maana mishale yote ilikuwa inanilenga mm dahhh nilipigwa adhabu ya kuchimba visiki na likizo iliofata nikaitumikia shule yoteeeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787] utoto raha sana
Ilikuaje mama angalau kidogo!Story ndefu nilimzimkiaga kijana mmoja hivii nilikuwa namuona mzuri dunia nzima hata sijui ilikuwaje nishagamsahau
Bila shaka ni mimi DinaStory ndefu nilimzimkiaga kijana mmoja hivii nilikuwa namuona mzuri dunia nzima hata sijui ilikuwaje nishagamsahau
Uzi wenu unaandaliwaTuliosoma girls tupu na wale wa uboyizini tunacomment wapi?
[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hehehe umenikumbusha seminary na adhabu za kichimba visiki [emoji23][emoji23][emoji23]
Bila shaka unaizungumzia boys ya Box2 au Wanaumeee wa Songea boysEnzi hizo boys ila nilikuwa na kadoshodosho ulokoni, msimu wa mahindi niliienjoy sana. Bibi yake alikuwa anauza mbogamboga shuleni nilikuwa nachukua ugali tu dining na vimaharage kidogo then naenda kwa bibi mkwe wangu ananijazia mabogamboga bure nakamilosha draft. Nilikupenda sana popote ulipo
Hukufanikiwa kupiga nae colaboStory ndefu nilimzimkiaga kijana mmoja hivii nilikuwa namuona mzuri dunia nzima hata sijui ilikuwaje nishagamsahau