Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?

Pia kuna uwezekano ni watu wake pia!Kwa Zakari ilikuwa hivi hivi sema yeye aliwahi kujihami ndio maana ikajulikana!
 
Pia Naanza kupata mashaka juu ya kifo cha ndesamburo
 
Mungu huwa habariki upumavu na ufalaufala!
 
Mungu ni Mungu haihitaji maelezo!
Mungu ni cheo, kama ilivyo Rais ni cheo, swali ni je huyo Mungu unayemsema wewe ni yupi? Kuna Mungu anaitwa JEHOVAH, MOLECH, CHEMOSH, ASHTORETH etc.
 
Siamini kabisa kuwa Serikali yetu ya Awamu ya Tano inaweza kumdhuru mtu kama MO kwa kuwa ni mwekezaji mkubwa na serikali ndiko inakoelekea. Acheni kuleta chuki na fitina kwa articles ambazo ni za kishabiki na ki activists ili kuipaka serikali matope.
Kwani MO ni wa kwanza kutekwa?
Ben Saanane,Azori,Zakaria ,Kanguye Super Sami na wengine wengi.
Magufuli anahusika na ndiye anayetoa maagizo ya watu kupotezwa.
Nyie mataahira endeleeni kushangilia ujinga ipo siku tu.
 
Mpumbavu kweli wewe,CHADEMA isiporudi bungeni ndo Magufuli wenu ataishi milele hatokufa? au CHADEMA ni adui wa Taifa inazuia maendeleo ya nchi?
Gesi mliiiuza wenyewe CCM ,dhahabu na mikataba yote ni nyie,sijui ni kipi kinakufanya ufurahie ibilisi wewe.
CCM haipendwi hata na sisimizi wa Tanzania, bila police, jeshi na TISS hakuna CCM.
Mmelaaniwa nyie.
 
Hii ni akili ya mtu mweusi mwenye Roho nyeusi anaeamini Umaskini wake utaisha siku mwenye nacho akiishiwa Shame!
 
Hii ni akili ya mtu mweusi mwenye Roho nyeusi anaeamini Umaskini wake utaisha siku mwenye nacho akiishiwa Shame!


Dunia nzima wanaamini hivyo na ndo maana Wazungu, Wakorea na Wajapani wameendelea, hawaruhu watu wa jamii nyingine kumiliki uchumi wao, ndo maana mnsafisha choo kwa Muhindi na Muzungu unafikiri ni kwa nini? Ulishaona Muhindi anasafisha choo hapa Dar hata kama hajasoma?
 
Mungu ni cheo, kama ilivyo Rais ni cheo, swali ni je huyo Mungu unayemsema wewe ni yupi? Kuna Mungu anaitwa JEHOVAH, MOLECH, CHEMOSH, ASHTORETH etc.


Mungu ni Mungu tu haihitaji maelezo, na Mungu hapendi watu dhaifu na wasojithamini, hakuumba mataifa mbalimbali na race mbali mbali ili race wengine wawe Watumwa, na ndo maana Ubaguzi wa makusudi dhidi ya race nyingine ni muhimu na ni lazima, kinyume cha hapo ni udhaifu na ni dhambi kwa Mungu, Mungu hakuumba Uwe dhaifu!
 
Weka full article hapa....sio kusema tukalipie huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…