Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,468
- 283,857
Haya mambo ya awamu ya 5 siku yakimpata ndugu yako ndio utatuelewa , Nape Nnauye ndiye alikuwa anagawa fulana na kalenda za ccm nchi nzima lakini kaja kutolewa bastola na mvuta bangi tu aliyetumwa !Wajinga nyinyi kila tukio mnahusisha siasa , fooo
Nawaza sijui familia ya Azori, Ben na Roma watakufikiriaje wakiisoma hii kuhusu serikaliSiamini kabisa kuwa Serikali yetu ya Awamu ya Tano inaweza kumdhuru mtu kama MO kwa kuwa ni mwekezaji mkubwa na serikali ndiko inakoelekea. Acheni kuleta chuki na fitina kwa articles ambazo ni za kishabiki na ki activists ili kuipaka serikali matope.
Vitu kama hivi sio vya kufurahia.Mambo yameanza!!
For him alone"Nyerere was an outward-looking globalist who saw Tanzania as a leader in world affairs. Magufuli, on the other hand, is an inward-looking provincial nativist who wants a Tanzania for Tanzanians alone."
Si uandike kwa kiswahili. Kiingereza gani hiki!!!?!?Something might have went wrong..!
Ndio bavicha walivyo hivyo.
Sasa unanukuu hiyo makala ili iweje?Magufuli sinks his teeth deeper into Dewji's empire
source; TANZANIA : Magufuli sinks his teeth deeper into Dewji's empire
Ni style ya uongozi wa awamu hii"Zamani tajiri alikuwa anaweza kufanya chochote , lakini leo tajiri anaweza kufanywa chochote "
Wengine mko Duniani kwa bahati mbaya umewahi.kujiuliza tumefikaje hadi kila kusingiziwa hao jamaaMwandishi acha ujinga kila siku wewe unaiwazia mabaya serikali, sahau ukidhani uharo unaoleta hapa kila siku utadhoofisha serikali yetu pendwa utaishia kuleta majungu na hakuna mtakalofanikiwa.
Nadhani tukio la Tarime kwa mzee Zakaria ndo lilitufumbua macho hawa watekaji ni kina nani.Wajinga nyinyi kila tukio mnahusisha siasa , fooo
Mungu yupi?Kama ni kweli safi sana na Mungu ambariki Raisi wetu!
Ila alisema kuwa atahakikisha wansoishi kama malaika wanaishi kama mashetani na huo ndo "uharo" unao stink up inchi hii! Get real man!Mwandishi acha ujinga kila siku wewe unaiwazia mabaya serikali, sahau ukidhani uharo unaoleta hapa kila siku utadhoofisha serikali yetu pendwa utaishia kuleta majungu na hakuna mtakalofanikiwa.
hiyo ni nukuu toka kwa rais wetu sio ya mtoa mada. muulize baba yetu akupe maana japo ameongea kiswahiliAkitoka huyo tajiri kufanywa chochote wewe nae hutapona....
Usifurahi mwenzako kushughulikiwa,wewe nae utafuata!
Tusichukie wafanyabiashara namna hii aisee..hii ni persecution kabisa!
Deal na watu by the LAW and not otherwise!
Duuh!Kama ni kweli safi sana na Mungu ambariki Raisi wetu, mimi ningetaifisha kila kitu na kugawia watu wetu halafu ningepeleka mswada Bungeni kuliomba Bunge letu tukufu kupitisha sheria ya wote wasio weusi wawe ni raia daraja la pili baada ya sisi.
Sisi kwanza Wahindi na wengineo daraja la pili!