Cosmological truth

Cosmological truth

Kwa sababu hakuna ushahidi wowote kuwa Mungu yupo.
Mimi Nina imani mungu yupo,kutokana na biological creatures in this world.yaan haingii akilini
1.uende porini au sehem yoyote ile ambayo unaamini hakuna MTU yoyote aliwahi fika ukaikuta saa ya mkononi,then ukasema hii SAA haijatengenezwa na binadamu,kisa tu ww ni wa kwanza kufika hapo,eti SAA imetokana na natural process kama baadhi ya wanasayansi wa miaka 80 s wanavyotoa nadharia?

2.siku una Chumba cha siri ambacho Hamna MTU anaingia au kukifahamu,Siku ya Siku kifaa chako kimeibiwa,unaita polisi wanafanya uchunguzi wao,wanagundua hamna hata unyayo wa MTU mwingine ulikanyaga hapo zaidi ya wew,,then polisi unapelekwa kwenye vipimo kama akili yako imeyumba kidgo ,utafiti waonesha upo kamili,na ww akili yako inashuhudia hujatoa kitu mule ndani,,sasa unaamua kusema kifaa chako kimeibwa na natural processes???

LEO HII wanasayansi wanasema hata mifumo au body system ya bacteria tu ni tata sana,kiasi cha kwamba ni ngumu ..kuamini hakuna designer wa uhai wa uliopo ulimwenguni,,
Mimi naleta Uzi maalumu unaonesha utata katika hili

Zaidi nakushukuru mkuu
 
Hatuwezi kujadiliana lolote kuhusu imani kama hatujaanza ku define imani ni nini.

Huo ndiyoufunguo wa majadiliano.

Kwenye insha na debate, watu huanza na definitions.

Nashangaa unataka majadiliano ya kitu bila definition.

Unaweza kuita nyekundu yangu bluu yako, na mimi nikaita bluu yako nyekundu yangu, wote tukasemakitu kimoja kwa wewe kusema bluu yako (ambayo ni nyekundu yangu) na mimi kusema nyekundu yangu ambayo ni bluu yako, kitu kilekile, lakini wewe ukatumia neno bluu na miminikatumia neno nyekundu.

Ndiyo maana kabla ya kubishana nyekundu na bluu zinatokeaje kwenye alkali na acid katika litmus test,inabidi tuonyeshane nyekundu ikoje na bluu ikoje.

Imani ni nini?

Bilakujibu swali hili siwezi kupata uhakika hata kama unaelewaimani ni nini, licha ya imani yako ni ipi na ina uzuri au ubaya gani.
Siwezi kukujibia swali nililokuuliza mwenyewe,swali nililokuuliza nilitaka kujua kutoka kwako imani ni nini hadi ukahusisha mchezo wa bichwa na mwenge kuwa ni mchezo wenye kutumia imani?

Matokeo yake unakwepa kujibu na kutaka mie ndiyo nijibu imani ni nini.
 
Mimi Nina imani mungu yupo,kutokana na biological creatures in this world.yaan haingii akilini
1.uende porini au sehem yoyote ile ambayo unaamini hakuna MTU yoyote aliwahi fika ukaikuta saa ya mkononi,then ukasema hii SAA haijatengenezwa na binadamu,kisa tu ww ni wa kwanza kufika hapo,eti SAA imetokana na natural process kama baadhi ya wanasayansi wa miaka 80 s wanavyotoa nadharia?

2.siku una Chumba cha siri ambacho Hamna MTU anaingia au kukifahamu,Siku ya Siku kifaa chako kimeibiwa,unaita polisi wanafanya uchunguzi wao,wanagundua hamna hata unyayo wa MTU mwingine ulikanyaga hapo zaidi ya wew,,then polisi unapelekwa kwenye vipimo kama akili yako imeyumba kidgo ,utafiti waonesha upo kamili,na ww akili yako inashuhudia hujatoa kitu mule ndani,,sasa unaamua kusema kifaa chako kimeibwa na natural processes???

LEO HII wanasayansi wanasema hata mifumo au body system ya bacteria tu ni tata sana,kiasi cha kwamba ni ngumu ..kuamini hakuna designer wa uhai wa uliopo ulimwenguni,,
Mimi naleta Uzi maalumu unaonesha utata katika hili

Zaidi nakushukuru mkuu
Hata kama hatujui chanzo cha uhai, hakutupi mwanya wa kuashumu kwamba Mungu ndiye aliyeumba.
Ukisema Mungu yupo kwa sababu viumbe vina mifumo tata ambayo inaashiria kwamba kuna Intelligent designer aliyeviumba, basi uwe tayari pia kusema kwamba kuna Super Intelligent designer aliyem-design huyo Intelligent designer.
 
Sababu mnazofikiri ama kusema kuwa ndiyo ziliwafanya watu enzi hizo kuamini mungu si sahihi na ndiyo maana hadi leo bado watu wanaendelea kuamini mungu.

Halafu pia wenye kuamini mungu hutoka makundi yote waliyosoma na hata wasiosoma.

Mnapenda kusoma mambo ya kufikirika tu na ndiyo maana yanakosa uhalisia kwenye maisha ya kawaida,haya mnayoyasoma si yaliyowafanya nyie kuwa atheists na wala hakuna ambaye utaweza kumfanya kuwa atheist kwa hayo.
1. Hujathibitisha Mungu yupo.
2. Hujatatua contradiction ya evil.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Kama yupi.

1. Thibitisha yupo.
2. Tatua contradiction ya evil.
 
Mimi Nina imani mungu yupo,kutokana na biological creatures in this world.yaan haingii akilini
1.uende porini au sehem yoyote ile ambayo unaamini hakuna MTU yoyote aliwahi fika ukaikuta saa ya mkononi,then ukasema hii SAA haijatengenezwa na binadamu,kisa tu ww ni wa kwanza kufika hapo,eti SAA imetokana na natural process kama baadhi ya wanasayansi wa miaka 80 s wanavyotoa nadharia?

2.siku una Chumba cha siri ambacho Hamna MTU anaingia au kukifahamu,Siku ya Siku kifaa chako kimeibiwa,unaita polisi wanafanya uchunguzi wao,wanagundua hamna hata unyayo wa MTU mwingine ulikanyaga hapo zaidi ya wew,,then polisi unapelekwa kwenye vipimo kama akili yako imeyumba kidgo ,utafiti waonesha upo kamili,na ww akili yako inashuhudia hujatoa kitu mule ndani,,sasa unaamua kusema kifaa chako kimeibwa na natural processes???

LEO HII wanasayansi wanasema hata mifumo au body system ya bacteria tu ni tata sana,kiasi cha kwamba ni ngumu ..kuamini hakuna designer wa uhai wa uliopo ulimwenguni,,
Mimi naleta Uzi maalumu unaonesha utata katika hili

Zaidi nakushukuru mkuu
Kama vyote complex vinahitaji muumbaji, Mungu naye atahitaji muumbaji na hivyo atakuwa si Mungu.

Umeshindwa kufikiri kimantiki katika kitu kidogo sana.
 
Hiyo link ina majibu.
Hiyo link ina upupu. Nakuuliza wewe. Unaelewa Quantum Physics?

Unaelewa Heisenbergs Uncertainty Principle?

Unaelewa Plank's Scale?

Unaelewa Quantum Entanglement?

Unaelewa Spooky Action at a Distance?

Unaelewa implications zake kwa huyo Mungu mnayemsema?

Au una forward links ambazo hata kuzielewa huzielewi?
 
1. Hujathibitisha Mungu yupo.
2. Hujatatua contradiction ya evil.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Kama yupi.

1. Thibitisha yupo.
2. Tatua contradiction ya evil.
Watu kuendelea kuamini mungu hadi leo inaonesha sababu mnazoeleza kuwa ndiyo zilizofanya watu waseme kuna mungu si za kweli.

Wewe una hakika kuwa hakuna mungu? kama ndiyo basi thibitisha.
 
Kama vyote complex vinahitaji muumbaji, Mungu naye atahitaji muumbaji na hivyo atakuwa si Mungu.

Umeshindwa kufikiri kimantiki katika kitu kidogo sana.
Sifa za mungu unayesema hayupo unazijua au unapinga kitu ambacho hukujui?
 
Nazijua. Wewe sifa za Mungu unayemsema yupo unazijua?

Maana unaweza kuwa na Mungu ambaye sifa yake kubwa ni kutokuwepo.

Halafu nikakwambia Mungu wako hayupo, ukabisha, ukasema yupo, kwa sababu hayupo.
 
Hapa swala si nani kamuumba mwenzie,kikubwa kuna designer
Kwanza kabisa swala ni mnyama. Kama hujui Kiswahili tu kiasi cha kujua tofauti ya suala na swala, ninapata tabu kukubali kama unaweza kuelewa falsafa ya uwepo au kutokuwepo Mungu.

Kuhusu designer, swali ni, je, vyote vilivyo complex vinahitaji designer?
 
Is not a matter of arguing and ridicules like as you do brother,..flaws are in innevitable at all,swala or suala is nothing on this topic,what you have to give your eyeball is our topic that rolls up....

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Nazijua. Wewe sifa za Mungu unayemsema yupo unazijua?

Maana unaweza kuwa na Mungu ambaye sifa yake kubwa ni kutokuwepo.

Halafu nikakwambia Mungu wako hayupo, ukabisha, ukasema yupo, kwa sababu hayupo.
Ungezijua usingesema kuwa mungu anahitaji muumbaji.
 
Kwanza kabisa swala ni mnyama. Kama hujui Kiswahili tu kiasi cha kujua tofauti ya suala na swala, ninapata tabu kukubali kama unaweza kuelewa falsafa ya uwepo au kutokuwepo Mungu.

Kuhusu designer, swali ni, je, vyote vilivyo complex vinahitaji designer?
Yes mkuu,kila kitu complex huhitaji designer,,may be nipe mfano kitu ambacho unahisi ni kinyume na ninachosema

If only house got constructor,,why arguing against creation mkuu??

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Is not a matter of arguing and ridicules like as you do brother,..flaws are in innevitable at all,swala or suala is nothing on this topic,what you have to give your eyeball is our topic that rolls up....

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Nothing is nothing.

Everything else is not nothing.

If you fail to understand that, you will contradict yourself to oblivion.
 
Yes mkuu,kila kitu complex huhitaji designer,,may be nipe mfano kitu ambacho unahisi ni kinyume na ninachosema

If only house got constructor,,why arguing against creation mkuu??

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Huyo Mungu wako unayedai creator wa vyote hivi anahitaji creator na yeye?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom