Cosa nostra

Kuna movie zake(series) zilikuwa zinaonyeshwa H.B.O nazani ni kutokana kwenye kitabu amecho post Raimundo hiki kitabu alikipendekeza paulo wa vingereza vingi last year mwanzoni
 
Kuna movie zake(series) zilikuwa zinaonyeshwa H.B.O nazani ni kutokana kwenye kitabu amecho post Raimundo hiki kitabu alikipendekeza paulo wa vingereza vingi last year mwanzoni

Unasema Godfather 1, 2 na 3; kuna novel zake pia ameandika Mario Puzo, sema hizi zimabase Amerika zaidi.

Ukipita humo ndo unaanza kupata mfumo halisi wa mafia ni nini.

Hizi zilikuwa ni story zilizobase kwenye hayo maisha ya hao jamaa.
 
Duh the bold hatuwezi kukutana weekend moja Tukarefresh huku tukiongea mawili matatu pia hv Naomba uweunitag mzeya pia kwnye whasap uniadd
 
Yah,ni Godfather (1,2&3),mkuu mimi ndio nilikutumia kile kitabu,ile ID niliachana nayo
 
Shukrani mkuu..
Hongera the bold hawa binadamu hawafai wana jiamini na mkwara mzito huwa napenda sana khabari zao kingine ni nidhamu ya kazi wakipewa kandarasi ya kuja kukuchomoa nafsi hata uwape dau kubwa kuliko walilopewa wanakuondoa tu kingine majina yao ya utani ni burudani tosha
 
Albert anastasia (the excutioner)huyu alileta balaa mpaka watu wakaamua kuweka kikao wamuonde sasa nani wa kumfunga paka kengele? alikuwa akiogopwa sana mpaka alipopatikana jack nazaria (mad dog )ndio alikuja kumuondoa yupo saluni ananyoa pale pale penye kiti akapewa risasi za kutosha inasemekana raymond patriaca boss wa England mob alihusika kupanga mchongo huo. Carmein galante (the cigar )au "lillo" hiki chuma nacho kilikuwa kitata ila biashara ya heroine ndio ilimuingiza matatani na mabosi wengi hawakuipenda kitu hii coz ilikuwa inavuta macho ya serikali siku anauwawa tayari mauti yamemfika walimkuta bado kauma cigar yake.
 
Duh the bold hatuwezi kukutana weekend moja Tukarefresh huku tukiongea mawili matatu pia hv Naomba uweunitag mzeya pia kwnye whasap uniadd
Hahahaha Mungu akipenda tunaonana one day mkuu..
Nitakutag bila shaka mkuu..
Kuhusu group whatsapp, nicheki kupitia 0718 096 811 (group ni exclusive and for "premium" members so kuna malipo)
 
Shukrani mkuu..
Hakika hawa watu wana weledi "uliotukuka"
 
Nilikuwa naongea na muitaliano mmoja akanambia kuwa Mafia iko kila sehemu huko italy Maofisini serikalini mahakamani michezoni mpaka ndani ya catholic church anasema now wako kimya sana so ni ngumu sana kuwajua tofauti na zamani so anasema for now ni ngumu kuwashinda coz wamechomeka watu wengi kila sehemu
 
The bold najiungaje hiyo ya kulipia 5000?
 
Sahihi kabisa mkuu.. Wamejitandaza kama Kansa kila sehemu.!!

Na jinsi wanavyofanya shughuli zao kimya kimya siku hizi.. Ndio imekuwa ngumu zaidi kupambana nao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…