Corona: Siri ya mafanikio yetu katika hii vita

Mkuu nakuelewa kabisa machungu uliyokuwa nayo.

Lakini tuko hapa mkuu. Nyomi kila mahali na hata kanisani alikokuwa mzee baba jana kulikuwa hata nafasi ya kupenyeza mguu ilikuwa hamna. Hakuna barakoa wala nini.

Hali kama ile huoni kuwa kuna point kuwa ugonjwa huu kwishney!
Nikwambie tuu ndugu kuwa tuna bahati sana na hatupaswi kufanya mambo kienyeji hivi kwani mambo mengine yanaweza kuwa mabaya na kuangamiza taifa lote. Imekuja kutokea kwa bahati tu kwamba ugonjwa huu sio mkali kwa waafrika waishio Afrika kutokana na uimara wa kinga za miili yao na mazingira wanayoishi. Haya yanatokea kwa nchi zote za Kitropic za Afrika na tena nchi nyingine zina maambukizi machache zaidi kuliko sisi. Ikitokea tukapata takwimu halisi Tanzania, kitu ambacho ni kigumu kwasasa kwani watu hata kupima hawapimi tena, utagundua pengine Tz tuna maambukizi mengi kuliko nchi yoyote Afrika. Watu wanajitibia majumbani na hakuna kutangaza hayo ndio maana inaonekana hakuna corona.
 
Hii fanikiwa yetu pana mabeberu bado wanawashwa washwa.



Ingependeza kumwita balozi kwa mahojiano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom