Jizoeze kutunza siri ili uweze kufanikiwa kwenye mambo mengi

Genio the great

Senior Member
Aug 29, 2022
167
506
Mwl KAZIDI "The Code breaker" 0752071767

Hellow nakusalimia Kwa Upendo wa dhati kabisa kutoka moyoni Leo nimesukumwa kukufungulia code walau moja ambazo zimewafunga na zimefanya wengi wasipige hatua katika mambo kadhaa

Note:Code means Secret (Password)

Mara nyingi sio rahisi sana kufahamu Siri juu ya jambo Fulani, na ndio maana tumekuwa na kundi kubwa la watu waliofanikiwa lakini wakihojiwa Huwa wanaongea mambo mengi ila Kuna baadhi ya Siri muhimu juu ya mafanikio yao hawawez kusema.

tuna matajiri wengi sana tanzania wakiulizwa walianzaje kufanikiwa utasikia niliuza karanga ndio zimenifikisha hapa hebu Leo tafakari sana juu ya majibu ya Namna hii hv ni kweli only karanga ? ni wangapi wanauza karanga na hatuoni wakifika kwenye levels hata za umilionea.

lakini tuna mabilionea hapa wanatajaga asili ya mafanikio yao lakini nataka nikwambie Kuna code kadhaa wamezivunja kutoboa hiyo hatua usiishie kuamini juu ya maelezo yao machache na ukitaka kuamini kuhusu Hilo kafanye hiko alichosema kma ni karanga kauze kma utafika hapo.

Tuna Motivation speakers wengi sana ambao Huwa wanakawaida ya kuwaambia watu ukiwa na laki 3 ukaanza na kuku 10 hivi na vile utafika pale n.k narudia Tena Kuna code nyingi sana zimejifichwa kwenye kufikia mafanikio nami nataka tuanze kuvunja code moja baada ya nyingine kma Mungu atatujalia uzima.

kumekuwa na vitu vingi sana vinatokea katika Maisha lakini wakati mwingine vitu hivyo hukwama Kwa kukosea baadhi ya mambo yamkini kwa kutokujua Code(Siri) iliyo nyuma ya jambo Hilo.

Nitatumia maandiko matakatifu kutoka kwenye Biblia kuweza kufungua hizo code Kwa mifano ya wazi kwenye Biblia halafu utarelate na baadhi ya mambo ambayo yamkini yamekutokea au yanaendelea na unaona kabisa mkwamo wake chanzo ni kutokujua hii code

Code no 2: USIPENDE KUONYESHA SIRAHA ZAKO ZOTE UNAZOAMINI ZITAKUPA USHINDI/MAFANIKIO JUU YA JAMBO FULANI

Watu wengi sana wamekuwa vimbelembele wakuweka wazi mipango yao ya baadae na ndoto walizo nazo Kwa watu hadi wale ambao haziwahusu, unakuta mtu anampango wa kujenga, kuanzisha biashara, kununua usafiri,kuoa, kuolewa, wakati mwingine hadi mimba watu wamekuwa wakizinadi Kwa watu utafikiri Kuna ushindani wa kugombania tuzo.

anashindwa kuyatunza hayo mambo hadi muda ambao umeamliwa yatokee, wako mambinti wamewatambulisha marafiki zao wachumba wao gafla wakawapoteza,

Wako watu ambao wametoa ideas za biashara Kwa marafiki zao Kwa lengo tu la kupata ushauri Kisha huyo rafiki akaamua kutumia hiyo idea na kuanzisha yeye hiyo biashara Kwa ujumla kutokuwa na usiri kwenye baadhi ya mambo kumefanya wengi wapoteze vingi,

Hata kma hiko kitu unahisi kikionekana hakuna tatizo jitahidi kujizuia kwasababu hata iweje Kuna muda utafika tu kitakuwa wazi na kitafahamika chenyewe Kwa watu.

Hebu ngoja tuangalie hapa kwenye hili andiko halafu utapata funzo na utaelewa hii code jinsi ilivyo na nguvu.

Hiki ni kisa Cha watu wawili kwenye Biblia Daudi na Goliath ,hebu Leo kiangalie Kwa jinsi hii:-

1Samuel 17:40,43,49

40:Akaichukua fimbo yake mkononi, akajichagulia mawe laini matano katika kijito cha maji, akayatia katika mfuko wa kichungaji aliokuwa nao, maana ni mkoba wake, na kombeo lake alikuwa nalo mkononi mwake, akamkaribia yule Mfilisti.

43:Mfilisti akamwambia Daudi, Je! Mimi ni mbwa hata umenijia kwa fimbo? Mfilisti akamlaani Daudi kwa miungu yake.

49:Daudi akatia mkono wake mfukoni, akatwaa humo jiwe moja, akalitupa kwa kombeo lake, akampiga Mfilisti katika kipaji cha uso; jiwe hilo likamwingilia kipajini, akaanguka chini kifudifudi.

Ukisoma huo mstari wa 40 Kuna siraha au vitu vitatu ambavyo Daudi alikuwa navyo
a)Fimbo
b)Mawe matano(5)
c)Kombeo

Lakini jambo la ajabu natamani uone katika hizo siraha tatu ni siraha moja tu ambayo aliiweka wazi mbele ya Goliath nayo ni Fimbo na Iko wazi ukisoma huo mstari 43 unatuonyesha Goliath alichokiona Kwa Daudi ni Fimbo tu means vingine Kuna mahali aliviweka au alivishika isiwe rahisi kuonekana Kwa adui yake.

Lakini hakujua kma Daudi ana Kombeo na Mawe ambayo ndio siraha aliyoitumia kumpiga

Mara nyingi umekuwa ukipoteza mengi kwasababu ya kuweka wazi mambo Yako

Sijui kma ushawahi kuwaza vile unapojisifikia Kwa habari ya kuanzisha biashara mpya, kuwa na mimba au kufunga ndoa Hali ya kuwa yule unayemwambia akiwa Hana mtoto, Hana mtaji wa biashara n.k

maana yake lazima awe na husuda ndani yake na anaweza kwenda mbali zaidi hata kuunda njama Hilo jambo lisifanikiwe. Halafu akawa ndio wakwanza kuanza kukupa pole za kinafki.

Hii code inatutaka Ili tufanikiwe tujizoeze kuwa na usiri kwenye baadhi ya mambo ambayo hayana ulazima sana watu kuyafahamu, Kwani muda unapofika hakuna jambo linalojificha lazima kitakuwa wazi lenyewe tu

Next Code inakuja ............................

Na mwl KAZIDI "THE CODE BREAKER" 0752071767
Kwa mahitaji binafsi ya mambo mbalimbali ya rohoni nicheki whatsap Kwa namba hiyo.
 
Mara nyingi sio rahisi sana kufahamu Siri juu ya jambo Fulani, na ndio maana tumekuwa na kundi kubwa la watu waliofanikiwa lakini wakihojiwa Huwa wanaongea mambo mengi ila Kuna baadhi ya Siri muhimu juu ya mafanikio yao hawawez kusema ,

tuna matajiri wengi sana tanzania wakiulizwa walianzaje kufanikiwa utasikia niliuza karanga ndio zimenifikisha hapa hebu Leo tafakari sana juu ya majibu ya Namna hii hv ni kweli only karanga ? ni wangapi wanauza karanga na hatuoni wakifika kwenye levels hata za umilionea,

lakini tuna mabilionea hapa wanatajaga asili ya mafanikio yao lakini nataka nikwambie Kuna code kadhaa wamezivunja kutoboa hiyo hatua usiishie kuamini juu ya maelezo yao machache na ukitaka kuamini kuhusu Hilo kafanye hiko alichosema kma ni karanga kauze kma utafika hapo,

Tuna Motivation speakers wengi sana ambao Huwa wanakawaida ya kuwaambia watu ukiwa na laki 3 ukaanza na kuku 10 hivi na vile utafika pale n.k narudia Tena Kuna code nyingi sana zimejifichwa kwenye kufikia mafanikio nami nataka tuanze kuvunja code moja baada ya nyingine kma Mungu atatujalia uzima.

kumekuwa na vitu vingi sana vinatokea katika Maisha lakini wakati mwingine vitu hivyo hukwama Kwa kukosea baadhi ya mambo yamkini kwa kutokujua Code(Siri) iliyo nyuma ya jambo Hilo

Nitatumia maandiko matakatifu kutoka kwenye Biblia kuweza kufungua hizo code Kwa mifano ya wazi kwenye Biblia halafu utarelate na baadhi ya mambo ambayo yamkini yamekutokea au yanaendelea na unaona kabisa mkwamo wake chanzo ni kutokujua hii code

Code no 2: USIPENDE KUONYESHA SIRAHA ZAKO ZOTE UNAZOAMINI ZITAKUPA USHINDI/MAFANIKIO JUU YA JAMBO FULANI

Watu wengi sana wamekuwa vimbelembele wakuweka wazi mipango yao ya baadae na ndoto walizo nazo Kwa watu hadi wale ambao haziwahusu, unakuta mtu anampango wa kujenga, kuanzisha biashara, kununua usafiri,kuoa, kuolewa, wakati mwingine hadi mimba watu wamekuwa wakizinadi Kwa watu utafikiri Kuna ushindani wa kugombania tuzo,

anashindwa kuyatunza hayo mambo hadi muda ambao umeamliwa yatokee, wako mambinti wamewatambulisha marafiki zao wachumba wao gafla wakawapoteza,

wako watu ambao wametoa ideas za biashara Kwa marafiki zao Kwa lengo tu la kupata ushauri Kisha huyo rafiki akaamua kutumia hiyo idea na kuanzisha yeye hiyo biashara Kwa ujumla kutokuwa na usiri kwenye baadhi ya mambo kumefanya wengi wapoteze vingi,

Hata kma hiko kitu unahisi kikionekana hakuna tatizo jitahidi kujizuia kwasababu hata iweje Kuna muda utafika tu kitakuwa wazi na kitafahamika chenyewe Kwa watu.

Hebu ngoja tuangalie hapa kwenye hili andiko halafu utapata funzo na utaelewa hii code jinsi ilivyo na nguvu.

Hiki ni kisa Cha watu wawili kwenye Biblia Daudi na Goliath ,hebu Leo kiangalie Kwa jinsi hii:-

1Samuel 17:40,43,49

40:Akaichukua fimbo yake mkononi, akajichagulia mawe laini matano katika kijito cha maji, akayatia katika mfuko wa kichungaji aliokuwa nao, maana ni mkoba wake, na kombeo lake alikuwa nalo mkononi mwake, akamkaribia yule Mfilisti.

43:Mfilisti akamwambia Daudi, Je! Mimi ni mbwa hata umenijia kwa fimbo? Mfilisti akamlaani Daudi kwa miungu yake.

49:Daudi akatia mkono wake mfukoni, akatwaa humo jiwe moja, akalitupa kwa kombeo lake, akampiga Mfilisti katika kipaji cha uso; jiwe hilo likamwingilia kipajini, akaanguka chini kifudifudi.

Ukisoma huo mstari wa 40 Kuna siraha au vitu vitatu ambavyo Daudi alikuwa navyo
a)Fimbo
b)Mawe matano(5)
c)Kombeo

Lakini jambo la ajabu natamani uone katika hizo siraha tatu ni siraha moja tu ambayo aliiweka wazi mbele ya Goliath nayo ni Fimbo na Iko wazi ukisoma huo mstari 43 unatuonyesha Goliath alichokiona Kwa Daudi ni Fimbo tu means vingine Kuna mahali aliviweka au alivishika isiwe rahisi kuonekana Kwa adui yake.

Lakini hakujua kma Daudi ana Kombeo na Mawe ambayo ndio siraha aliyoitumia kumpiga

Mara nyingi umekuwa ukipoteza mengi kwasababu ya kuweka wazi mambo Yako

Sijui kma ushawahi kuwaza vile unapojisifikia Kwa habari ya kuanzisha biashara mpya, kuwa na mimba au kufunga ndoa Hali ya kuwa yule unayemwambia akiwa Hana mtoto, Hana mtaji wa biashara n.k

maana yake lazima awe na husuda ndani yake na anaweza kwenda mbali zaidi hata kuunda njama Hilo jambo lisifanikiwe. Halafu akawa ndio wakwanza kuanza kukupa pole za kinafki.

Hii code inatutaka Ili tufanikiwe tujizoeze kuwa na usiri kwenye baadhi ya mambo ambayo hayana ulazima sana watu kuyafahamu, Kwani muda unapofika hakuna jambo linalojificha lazima kitakuwa wazi lenyewe tu

Next Code inakuja ............................

Na mwl KAZIDI "THE CODE BREAKER" 0752071767
Kwa mahitaji binafsi ya mambo mbalimbali ya rohoni nicheki whatsap Kwa namba hiyo.
Umeelezea vyema. Somo zuri
 
Kutunza siri hakuna mfungamano wowote na mafanikio.

Ufinyu wetu wa akili ndio unapelekea kuamini hivyo.

Usiri sana sana una faida kwenye uharamu wa biashara na njia zisizo sahihi.

Ndio maana matajiri wengi wakitangulia mbele za haki biashara zinakufa hasa waswahili kwa sababu ya janja janja na ambazo wewe unaita usiri.

Kila kitu kikiwa wazi biashara haiwezi kufa kizembe, zinakufa kwa sababu ya usiri wa uharamu, ulikua kutwa unashinda kwa waganga unatoa kafara, huwezi shirikisha hizo siri kwa watoto, unakufa watu wanashangaa mbona biashara nazo zinakufa kumbe zina usiri mchafu.
 
Unaelewa ulichoandika na kilichoandikwa kwenye huo Uzi? Kuna utangulizi wa Uzi halafu Kuna code iliyovunjwa lakini umejikita kwenye utangulizi na kuacha msingi wa Uzi labda nkuulize kitu kidgo unaelewa nini juu ya utunzaji wa Siri au ni kwanini kazi nyeti kama mitihani ya taifa , uchaguzi ?
Lakini pia ngoja nikusaidie kitu kimoja inaonekana unafikiri taratibu sana ushawahi kujua kwanini marafiki wengi Huwa wanagombana sana,? Iko hv rafiki hafichwi jambo Huwa unamshirikisha mambo mengi na kitendo Cha kufahamu mambo mengi kuhus ww Ndio hatua ya kwnza ya kukusnich na kufanya mengine yasifikie kwenye target na ndio maana hakuna adui mkubwa ambaye hajawah kuwa rafiki Yako, ni lazima urafiki uwepo kwanza ndio uadui uje baada ya kujua Siri zako

Narudia Tena Ili ufanikishe jambo lolote usiri ni muhimu kuliko unavyofikr
 
Mwl KAZIDI "The Code breaker" 0752071767

Hellow nakusalimia Kwa Upendo wa dhati kabisa kutoka moyoni Leo nimesukumwa kukufungulia code walau moja ambazo zimewafunga na zimefanya wengi wasipige hatua katika mambo kadhaa

Note:Code means Secret (Password)

Mara nyingi sio rahisi sana kufahamu Siri juu ya jambo Fulani, na ndio maana tumekuwa na kundi kubwa la watu waliofanikiwa lakini wakihojiwa Huwa wanaongea mambo mengi ila Kuna baadhi ya Siri muhimu juu ya mafanikio yao hawawez kusema.

tuna matajiri wengi sana tanzania wakiulizwa walianzaje kufanikiwa utasikia niliuza karanga ndio zimenifikisha hapa hebu Leo tafakari sana juu ya majibu ya Namna hii hv ni kweli only karanga ? ni wangapi wanauza karanga na hatuoni wakifika kwenye levels hata za umilionea.

lakini tuna mabilionea hapa wanatajaga asili ya mafanikio yao lakini nataka nikwambie Kuna code kadhaa wamezivunja kutoboa hiyo hatua usiishie kuamini juu ya maelezo yao machache na ukitaka kuamini kuhusu Hilo kafanye hiko alichosema kma ni karanga kauze kma utafika hapo.

Tuna Motivation speakers wengi sana ambao Huwa wanakawaida ya kuwaambia watu ukiwa na laki 3 ukaanza na kuku 10 hivi na vile utafika pale n.k narudia Tena Kuna code nyingi sana zimejifichwa kwenye kufikia mafanikio nami nataka tuanze kuvunja code moja baada ya nyingine kma Mungu atatujalia uzima.

kumekuwa na vitu vingi sana vinatokea katika Maisha lakini wakati mwingine vitu hivyo hukwama Kwa kukosea baadhi ya mambo yamkini kwa kutokujua Code(Siri) iliyo nyuma ya jambo Hilo.

Nitatumia maandiko matakatifu kutoka kwenye Biblia kuweza kufungua hizo code Kwa mifano ya wazi kwenye Biblia halafu utarelate na baadhi ya mambo ambayo yamkini yamekutokea au yanaendelea na unaona kabisa mkwamo wake chanzo ni kutokujua hii code

Code no 2: USIPENDE KUONYESHA SIRAHA ZAKO ZOTE UNAZOAMINI ZITAKUPA USHINDI/MAFANIKIO JUU YA JAMBO FULANI

Watu wengi sana wamekuwa vimbelembele wakuweka wazi mipango yao ya baadae na ndoto walizo nazo Kwa watu hadi wale ambao haziwahusu, unakuta mtu anampango wa kujenga, kuanzisha biashara, kununua usafiri,kuoa, kuolewa, wakati mwingine hadi mimba watu wamekuwa wakizinadi Kwa watu utafikiri Kuna ushindani wa kugombania tuzo.

anashindwa kuyatunza hayo mambo hadi muda ambao umeamliwa yatokee, wako mambinti wamewatambulisha marafiki zao wachumba wao gafla wakawapoteza,

Wako watu ambao wametoa ideas za biashara Kwa marafiki zao Kwa lengo tu la kupata ushauri Kisha huyo rafiki akaamua kutumia hiyo idea na kuanzisha yeye hiyo biashara Kwa ujumla kutokuwa na usiri kwenye baadhi ya mambo kumefanya wengi wapoteze vingi,

Hata kma hiko kitu unahisi kikionekana hakuna tatizo jitahidi kujizuia kwasababu hata iweje Kuna muda utafika tu kitakuwa wazi na kitafahamika chenyewe Kwa watu.

Hebu ngoja tuangalie hapa kwenye hili andiko halafu utapata funzo na utaelewa hii code jinsi ilivyo na nguvu.

Hiki ni kisa Cha watu wawili kwenye Biblia Daudi na Goliath ,hebu Leo kiangalie Kwa jinsi hii:-

1Samuel 17:40,43,49

40:Akaichukua fimbo yake mkononi, akajichagulia mawe laini matano katika kijito cha maji, akayatia katika mfuko wa kichungaji aliokuwa nao, maana ni mkoba wake, na kombeo lake alikuwa nalo mkononi mwake, akamkaribia yule Mfilisti.

43:Mfilisti akamwambia Daudi, Je! Mimi ni mbwa hata umenijia kwa fimbo? Mfilisti akamlaani Daudi kwa miungu yake.

49:Daudi akatia mkono wake mfukoni, akatwaa humo jiwe moja, akalitupa kwa kombeo lake, akampiga Mfilisti katika kipaji cha uso; jiwe hilo likamwingilia kipajini, akaanguka chini kifudifudi.

Ukisoma huo mstari wa 40 Kuna siraha au vitu vitatu ambavyo Daudi alikuwa navyo
a)Fimbo
b)Mawe matano(5)
c)Kombeo

Lakini jambo la ajabu natamani uone katika hizo siraha tatu ni siraha moja tu ambayo aliiweka wazi mbele ya Goliath nayo ni Fimbo na Iko wazi ukisoma huo mstari 43 unatuonyesha Goliath alichokiona Kwa Daudi ni Fimbo tu means vingine Kuna mahali aliviweka au alivishika isiwe rahisi kuonekana Kwa adui yake.

Lakini hakujua kma Daudi ana Kombeo na Mawe ambayo ndio siraha aliyoitumia kumpiga

Mara nyingi umekuwa ukipoteza mengi kwasababu ya kuweka wazi mambo Yako

Sijui kma ushawahi kuwaza vile unapojisifikia Kwa habari ya kuanzisha biashara mpya, kuwa na mimba au kufunga ndoa Hali ya kuwa yule unayemwambia akiwa Hana mtoto, Hana mtaji wa biashara n.k

maana yake lazima awe na husuda ndani yake na anaweza kwenda mbali zaidi hata kuunda njama Hilo jambo lisifanikiwe. Halafu akawa ndio wakwanza kuanza kukupa pole za kinafki.

Hii code inatutaka Ili tufanikiwe tujizoeze kuwa na usiri kwenye baadhi ya mambo ambayo hayana ulazima sana watu kuyafahamu, Kwani muda unapofika hakuna jambo linalojificha lazima kitakuwa wazi lenyewe tu

Next Code inakuja ............................

Na mwl KAZIDI "THE CODE BREAKER" 0752071767
Kwa mahitaji binafsi ya mambo mbalimbali ya rohoni nicheki whatsap Kwa namba hiyo.
Barikiwa Sana....somo zuri
 
Kabisa, kuna tuliotambulisha wapenzi wetu kwa rafiki zetu na mwisho wake tukaishia kuwa rafiki zao.
 
Umeongea point sana mkuu unanikumbusha ngosha a.k.a fid q kunamstari wa ngoma yake moja anakwambia mafanikio nikama chupi hakikisha hawaijui rangi
 
Back
Top Bottom