Ijue siri ikwamishayo wengi kwenye mengi

Genio the great

Senior Member
Aug 29, 2022
159
491
Mwl KAZIDI "The Code breaker" 0752071767

Hellow nakusalimia Kwa Upendo wa dhati kabisa kutoka moyoni Leo nimesukumwa kukufungulia code walau moja ambazo zimewafungwa na zimefanya wengi wasipige hatua katika mambo kadhaa

Note:Code means Secret (Password)

Mara nyingi sio rahisi sana kufahamu Siri juu ya jambo Fulani, na ndio maana tumekuwa na kundi kubwa la watu waliofanikiwa lakini wakihojiwa Huwa wanaongea mambo mengi ila Kuna baadhi ya Siri muhimu juu ya mafanikio yao hawawez kusema , tuna matajiri wengi sana tanzania wakiulizwa walianzaje kufanikiwa utasikia niliuza karanga ndio zimenifikisha hapa hebu Leo tafakari sana juu ya majibu ya Namna hii hv ni kweli only karanga ? ni wangapi wanauza karanga na hatuoni wakifika kwenye levels hata za umilionea,

lakini tuna mabilionea hapa wanatajaga asili ya mafanikio yao lakini nataka nikwambie Kuna code kadhaa wamezivunja kutoboa hiyo hatua usiishie kuamini juu ya maelezo yao machache na ukitaka kuamini kuhusu Hilo kafanye hiko alichosema kma ni karanga kauze kma utafika hapo,

Tuna Motivation speakers wengi sana ambao Huwa wanakawaida ya kuwaambia watu ukiwa na laki 3 ukaanza na kuku 10 hivi na vile utafika pale n.k narudia Tena Kuna code nyingi sana zimejifichwa kwenye kufikia mafanikio nami nataka tuanze kuvunja code moja baada ya nyingine kma Mungu atatujalia uzima.

kumekuwa na vitu vingi sana vinatokea katika Maisha lakini wakati mwingine vitu hivyo hukwama Kwa kukosea baadhi ya mambo yamkini kwa kutokujua Code(Siri) iliyo nyuma ya jambo Hilo
nitatumia maandiko matakatifu kutoka kwenye Biblia kuweza kufungua hizo code Kwa mifano ya wazi kwenye Biblia halafu utarelate na baadhi ya mambo ambayo yamkini yamekutokea au yanaendelea na unaona kabisa mkwamo wake chanzo ni kutokujua hii code

Code no 1: KWENYE KILA VITA/JAMBO ULIONALO USIICHUKULIE KWA JINSI YA MWILI HATA KAMA LINA MWONEKANO WA KIMWILI(ONA KIROHO KWANZA )

Code hii imeharibia wengi kufikia mafanikio Unaweza ukajiuliza ni kwanini watu wengi kabla ya kuanza biashara kma si waumini wa dini yoyote huanza Kwa kuita waganga waweke mambo sawa Hali yakuwa biashara ni kitu Cha kawaida tu ambacho msomi wa marketing atakwambia Ili upate wateja chagua location nzuri, uwe na bidhaa nzuri n.k

Kwanini watu wengi sana wanapokutana na changamoto, shida, vita au jambo lolote hulichukulia kawaida yaani ni la kawaida pasipokujua kumbe lipo deep zaidi ya hvyo ulionavyo soma hiki kisa halafu tupate funzo na tuwe tumeivunja hii code ya kwanza na tuanze kuiapply katika Maisha halafu utakuja kushuhudia matokeo yake

Hiki ni kisa Cha watu wawili kwenye Biblia Daudi na Goliath hebu Leo kiangalie Kwa jinsi hii.:-

1Samwel 17:10,23
10:Yule Mfilisti akasema, Nayatukana leo majeshi ya Israeli; nipeni mtu tupigane.
23:Hata alipokuwa akisema nao, kumbe! Yule shujaa alitokea, yule Mfilisti wa Gathi, jina lake Goliathi, akitoka katika jeshi la Wafilisti, akasema maneno yale yale; naye Daudi akayasikia

Huyo ni Goliath ameongea hivyo mara mbili tofauti na hakubadiri aina ya mazungumzo na ndio maana kwenye huo mstari wa 23 inaandika akasema maneno yaleyale

nataka tukaone Namna Daudi alichojibu(Respond) katika Hilo halafu tukaivunje hiyo code

1 Samuel 17:26,36
26:Daudi akaongea na watu waliosimama karibu, akisema, Je! Atafanyiwaje yeye atakayemwua Mfilisti huyo, na kuwaondolea Israeli aibu hii? Maana Mfilisti huyu asiyetahiriwa ni nani hata awatukane majeshi ya Mungu aliye hai?
36:Mtumishi wako alimwua simba na dubu pia; na huyu Mfilisti asiyetahiriwa atakuwa kama mmoja wao, kwa sababu amewatukana majeshi ya Mungu aliye hai.

Kama umesoma hiyo mistari yote Kuna kitu Cha kujifunza hakuna mahali Goliath amesema ametukana jeshi la Mungu

alikuwa anasema anatukana jeshi la islael lakini Daudi alikuwa anasema Goliath katukana majeshi ya Mungu aliyehai na hii ndio siri iliyofungwa na kufanya wengi hawafanikiwi kwenye vita au mambo mbalimbali Kwani wanaona mambo Kwa jinsi ya kawaida. Sijui kama ushawahi kuwaza kwanini Daudi alimchonganisha Goliath na Mungu moja Kwa moja. Hali yakuwa Ile ilikuwa ni vita kati ya wafilist vs waislael na Kwa mazingira ya kawaida kabisa Goliath aliwatukana waislael kweli moja Kwa moja na sio Mungu wao

Sijui kama umewahi kutana na wale watu ambao amekukosea yeye lakini bado anataka uanze kurumbana Naye ukiliagalia hili Kwa jicho la haraka unaweza ingia kwenye malumbano yatakayogharimu vitu vingi ,hadhi yako,n.k

Wakati Fulani Kuna jirani yangu mmoja aliwahi kunifuata ananiambia nimyoe mwanangu nywele na asisitiza kwanini simnyoi na wakati huo mtoto wangu alikuwa bado ni mdogo ana almost mwaka mmoja lakini nilipokuja kuiangalia hoja yake nikagundua jambo na Kuna nilichomjibu tokea wakati huo amekuwa hata kupita njia ya kutokea nyumbn kwangu anaona hatari

Note: Code hii inatutaka kwenye Kila jambo hata kama linaonekana ni la mwilini unapolifanya mtangulize Mungu alifanye yeye

Na kama Kuna mtu una ugomvi Naye( Adui) basi mwone kma amegombana na Mungu direct kwasababu wewe ni miliki ya Mungu na sio wewe mwenyewe hapo utaona matokeo ya ajabu sana nakuhakikishia

Next Code inakuja ............................

Na mwl KAZIDI "THE CODE BREAKER" 0752071767 Kwa mahitaji binafsi ya mambo mbalimbali ya rohoni nicheki whatsap Kwa namba hiyo.
 
Sijui kama umewahi kutana na wale watu ambao amekukosea yeye lakini bado anataka uanze kulumbana Naye ukiliangalia hili Kwa jicho la haraka unaweza ingia kwenye malumbano yatakayogharimu vitu vingi ,hadhi yako,n.k
 
Asante sana kwa somo nzurii
 
usiombe tu sadaka. ila ukweli ni kwamba, kila ukionacho kinatokea kimwili, kilianza kiroho, ukimalizana kiroho matokeo ya kimwili utakuwa unainjoy tu.
 
Back
Top Bottom