Tuwaombe Wachina watusaidie...ugonjwa ulianzia kwao...lakini wameweza kuudhiti.
Kweli.
Kuandika tu hujui.
Kilichotokea ni mambo mazito sana. Mtu unaikataaje science?We mtu alikuwa anawasimanga masista na mapadre kuvaa barakoa kanisami...!! Magufuli mtu hatari sana!!
Kilichotokea ni mambo mazito sana. Mtu unaikataaje science?
Ni nani alithubutu kufungua mdomo mbele ya Fascist? Madaktari wenyewe na elimu zao miaka 5 ya kusoma ongeza na Internship bado waliogopa kutaja Corona🤣🤣🤣🤣. Wakaibatiza matatizo ya upumuaji na baadaye Pneumonia😎😎😎😎. Ukitaja Corona kesho kazi huna😃😃😃. Acha Mungu aitwe Mungu.Tujifukize tuu,,Mbona hamkuongea haya Enzi zile
Kwani sisi umetushinda kuudhibiti?Tuwaombe Wachina watusaidie...ugonjwa ulianzia kwao...lakini wameweza kuudhiti.
Hata mimi nimeshangaa, maana hiyo ni tabia ya asili ya Virus vyote.madalali wa chanjo!!
Kwa nini tusipate chanjo ya HIV??
TOKA LINI DAKTARI AKASHANGAA MUTATIONS ZA VIRUS?
Ungekuwa Marekani na ukawapoteza hao ndugu zako lawama ungezipeleka kwa nani?Ni nani alithubutu kufungua mdomo mbele ya Fascist? Madaktari wenyewe na elimu zao miaka 5 ya kusoma ongeza na Internship bado waliogopa kutaja Corona🤣🤣🤣🤣. Wakaibatiza matatizo ya upumuaji na baadaye Pneumonia😎😎😎😎. Ukitaja Corona kesho kazi huna😃😃😃. Acha Mungu aitwe Mungu.
Nikapoteza shangazi 2 wenye professionals zao nzuri na wategemewa wakubwa. Nikapoteza majirani na marafiki. Huyo Mungu mtu hatokaa asahaulike kwa baadhi ya familia ====waliopotea, waliobambikizwa kesi za uhujumu uchumi, walichukuliwa pesa bank, waliotumbuliwa bila kosa kisa fitna na wivu, waliobaguliwa kwa ukabila na kanda zao, waliodanganywa Korona hakuna Tanzania.
Aisee msururu ni mrefu sana
Mwambie Sisi sasa tuna MATHA= Make Tanzania Happy AgainHata hawa wako vizuri:
View attachment 1778618
Ila nisiache kukudokeza - katika kipindi cha mama tuko vizuri sana kuliko wakati mwingine.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Wakipotea tukiwa na hizo tahadhari itauma ila kwa kuwa ukweli ulitumika waziwazi nitasema ni ajali kazini. Lakini kudanganywa eti korona hakuna, kuzitukana barakoa kuwa eti ni kama sidiria na maneno lukuki ya kebehi, kubatiza korona majina ya hovyohovyo ili tu kuukataa ukweli huo ndiyo ukichaa kabisa hata Milembe kichaa wa grade hiyo hakuna.Ungekuwa Marekani na ukawapoteza hao ndugu zako lawama ungezipeleka kwa nani?
Anzeni tu propaganda kuja kuhalalisha chanjo na lockdown,kwani wanavyokufa India lazima iwe hivyo kote.
Dunia imepiteza watu zaidi ya 2m lakini Afrika 100000 na kidogo,hujiulizi?
Unafaida gani na uvumi huu? Wewe umetumwa kupima upepo ni member wa ile tume?
Khaaaaa....Kweri kweri - hayo ni baadhi tu ya tuliyo rithi wenzio tokea kwa mwendazake. Kumbe wewe unataka kutusahihisha leo?
Umechelewa mno mburula wewe.
Ungemsahihisha yeye kwanza.
Hiiiiii bagosha!
Khaaaaa....
Kweli wewe shoga.
Tuletewe chanjo jamani. Mzee wa nyungu na kujifukiza hayupo, tuwe makini na afya zetu.
Kweni ile tume iliyoundwa na Rais wao wanasemaje?.
Ngoja nikachungulie video yake nioneSiku hiyo St Peter's nilicheka balaa kimoyoni, maana nilikuwa nimekaa mbele na alikuwa ananitupia jicho....noma sana
Madalali wa kuuza chanjo wanajua kusukuma kete