Corona: Kirusi kipya cha India kwa mujibu wa Daktari kutoka Muhimbili

Sijawahi kukubali kuwa barakoa itanilinda na Corona.
Hizo NI hadithi
Kwamba unamkubali Dr. Gwajima 100% hiyo ni hatua njema sana.

Sasa hivi anakubali kuchukua hatua stahiki. Busara inaanza kutamalaki. Mungu atupe nini zaidi?

Mdogo mdogo tutafika tu.
 
madokta wa kukariri

Madaktari wanasoma miaka 5 shahada ya kwanza baada ya kumaliza darasa la saba, kidato cha nne na cha sita. Wengine hupasha miaka mingine zaidi kuwa wazamili na mingine tena kabla ya kuzamia kabisa.

Itakuwa ni kujitoa ufahamu kwa hali ya juu mno kuwadhania kuwa hawa ni wa kukariri tu kama watoto wadogo, kina sisi au labda hata kina wewe.
 
Sijawahi kukubali kuwa barakoa itanilinda na Corona.
Hizo NI hadithi

Kwani wewe ni mtalaamu wa afya mkuu? Mbona sisi wakina yakhe tusiokuwa wataalamu hupokea tu maelekezo ya wataalamu hawa baada ya tafiti zao ambazo aghalabu ni za kisomi mno?

Wataalamu hawa katika tafiti zao ambazo kwetu sisi labda hata na wewe ni maluweluwe tu, wanavijua virusi hivi kwa kuviona, kuvigusa nk.

Yarabi, tuna hoja zipi sisi juu ya kirusi hiki au kitu tusichokijua wala kufahamu kuhusu warusi hao?
 
Mimi simtegemei mtaalam aliyeumbwa kama Mimi.
NAMTEGEMEA MUNGU

Madaktari wanasoma miaka 5 shahada ya kwanza baada ya ukumalizia darasa la saba, kaisari cha nne na cha sita. Wengine hupasha miaka mingine zaidi kuwa wazamili na zaidi tena kabla ya kuzamia kabisa.

Itakuwa ni kujitoa ufahamu kwa hali ya juu mno kuwadhania kuwa hawa ni wa kukariri tu kama watoto wadogo, kina sisi au labda hata kina wewe.
Tatizo lako hupendi kueongeza maarifa ndio maana una mtazamo huo kwa madaktari ambao mie nauita ni wa kizamani, nyie ndio mnaoamini Doctor anajua kila kitu.

Juzi kati hapa nusu nimpoteze mtu wangu wa karibu kama nisingejiongeza na kuishia kukubali tu kumuamini Doctor.
 
Mimi simtegemei mtaalam aliyeumbwa kama Mimi.
NAMTEGEMEA MUNGU

Ipo tofauti kubwa baina ya kumtegemea mtu na kukubaliana na ushauri wa kitalaamu.

Ndiyo maana hapo ulipo bila shaka uko busy unatumia smartphone kuandika unayoandika badala ya kutumia misahafu kufikisha ujumbe wako.

Mama Samia katukosha wengi kwa kutambua kuwa sayansi na teknolojia haviwezi kuzidiwa na manabii uchwara wafufua wafu wasiothubutu kuwa na ujasiri wa kuwafufua waenda zao.
 
Masuala ya smartphone NI tofauti na masuala ya AFYA.
AFYA yangu NI yangu najua nitailinda vipi

Mtanzania kwenye ubora wako. Porojo kwa wingi kujidhania uko vizuri.

CV yako tafadhali, wakati tukisubiria ripoti kamili ya wataalamu. Ila kwa mwendo huu,

View attachment 1778346

ni wazi kuwa si bure bali pana moshi unaofuka!
hamna haja ya kujua cv mkuu, hayo maswali nimejiuliza, kama unayo majibu nipe. ni Tafakuri tu.
ila kuna kitu hakiko sawa..
siwezi kudharau corona kwa kuwa nimeshazika ndugu.
 
Masuala ya smartphone NI tofauti na masuala ya AFYA.
AFYA yangu NI yangu najua nitailinda vipi

Masuala ya kitalaamu ni pamoja na smartphone, magonjwa, madege, mahospitali, magari, nk ambavyo tumevijua kwa hisani ya beberu.

Tungeijua wapi Corona sisi bila hao wenye shule zao?

Ndipo hapo masuala ya smartphone na afya yanapokutana.

Kukubaliana au kutokubaliana na wataalamu hilo ni suala binafsi. Ila tu tusilamishane na hasa tusilamishe kuwaambukiza wengine.
 
Kwenye Corona waniache Tu.
Masuala ya kitalaamu ni pamoja na smartphone, magonjwa, madege, mahospitali, magari, nk ambavyo tumevijua kwa hisani ya beberu.

Tungeijua wapi Corona sisi bila hao wenye shule zao?

Ndipo hapo masuala ya smartphone na afya yanapokutana.

Kukubaliana au kutokubaliana na wataalamu hilo ni suala binafsi. Ila tu tusilamishane na hasa tusilamishe kuwaambukiza wengine.
 
hamna haja ya kujua cv mkuu, hayo maswali nimejiuliza, kama unayo majibu nipe. ni Tafakuri tu.
ila kuna kitu hakiko sawa..
siwezi kudharau corona kwa kuwa nimeshazika ndugu.

Mkuu elimu ni bahari. Ndipo mambo ya CV yanapokuja.

Watu wamesoma sana na labda ukiwamo wewe mkuu. Tofauti inakuja kuwa watu wamesoma nini kupata mamlaka ya kuongea nini, wapi ili hoja zao kuwa na mchango wowote wenye mashiko katika jamii?

Ninakazia:

"Akizungumza na Mwananchi, Mtaalamu wa maicobaolojia na virusi kutoka Chuo kikuu cha Muhimbili (Muhas), Dk Joel Manyahi alisema aina hiyo ya kirusi kina tabia ya kujibadilisha mara kwa mara."

Hatuwezi kubobea wote katika kila kitu. Uungwana ni kuwapa nafasi zao wabobezi husika kwenye maeneo yao.

Bila hivyo tutakuwa wa kushangaa Shanghai mara ooh, elimu ya manunuzi nayo ni elimu gani? -- kishimba.
 
Sijui kwanini unapenda kuifanyia ushabiki corona? kuna muda uliweka picha ya Jafo kavaa barakoa kwenye mazishi ya Magufuli ila toka siku ile Jafo hakuonekana tena kuvaa barakoa hadi leo. Kitu ambacho unashindwa kukiona ni kwamba hao wote hakuna mwenye kuamini katika kuvaa barakoa na ndio maana hawakuwa wakivaa hata baada ya Magufuli kufariki, wanachokifanya hapo ni suala la kisiasa zaidi yani hizo barakoa zinavaliwa kwenye shughuli anapokuwepo rais tu ila sehemu zengine hawavai hizo barakoa.

Sasa nakushangaa unashabikia tu.
Mpuuzi sana huyo
 
sina wasiwasi nipo vizuri Sana kiafya

Hata hawa wako vizuri:

IMG_20210218_174254_207.jpg

Ila nisiache kukudokeza - katika kipindi cha mama tuko vizuri sana kuliko wakati mwingine.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Madaktari wanasoma miaka 5 shahada ya kwanza baada ya ukumalizia darasa la saba, kidato cha nne na cha sita. Wengine hupasha miaka mingine zaidi kuwa wazamili na mingine tena kabla ya kuzamia kabisa.

Itakuwa ni kujitoa ufahamu kwa hali ya juu mno kuwadhania kuwa hawa ni wa kukariri tu kama watoto wadogo, kina sisi au labda hata kina wewe.
Unaandika insha nyingi sana.

Kiufupi tu ni kwamba, huna akili.
 
Unaandika insha nyingi sana.

Kiufupi tu ni kwamba, huna akili.

Hahaahaaa haa haa! Wewe unazo? Ungekuwa nazo tusingekuwa tumeziona kweri?

Usisahau kuwa kwa vile wewe huna basi na wengine nao hawana.

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom