Corona: Kirusi kipya cha India kwa mujibu wa Daktari kutoka Muhimbili

Kweli.

Kuandika tu hujui.

Kweri kweri - hayo ni baadhi tu ya tuliyo rithi wenzio tokea kwa mwendazake. Kumbe wewe unataka kutusahihisha leo?

Umechelewa mno mburula wewe.

Ungemsahihisha yeye kwanza.

Hiiiiii bagosha!
 
Tuletewe chanjo jamani. Mzee wa nyungu na kujifukiza hayupo, tuwe makini na afya zetu.
Kweni ile tume iliyoundwa na Rais wao wanasemaje?.
 
Tujifukize tuu,,Mbona hamkuongea haya Enzi zile
Ni nani alithubutu kufungua mdomo mbele ya Fascist? Madaktari wenyewe na elimu zao miaka 5 ya kusoma ongeza na Internship bado waliogopa kutaja Corona🤣🤣🤣🤣. Wakaibatiza matatizo ya upumuaji na baadaye Pneumonia😎😎😎😎. Ukitaja Corona kesho kazi huna😃😃😃. Acha Mungu aitwe Mungu.
Nikapoteza shangazi 2 wenye professionals zao nzuri na wategemewa wakubwa. Nikapoteza majirani na marafiki. Huyo Mungu mtu hatokaa asahaulike kwa baadhi ya familia ====waliopotea, waliobambikizwa kesi za uhujumu uchumi, walichukuliwa pesa bank, waliotumbuliwa bila kosa kisa fitna na wivu, waliobaguliwa kwa ukabila na kanda zao, waliodanganywa Korona hakuna Tanzania.

Aisee msururu ni mrefu sana
 
Ungekuwa Marekani na ukawapoteza hao ndugu zako lawama ungezipeleka kwa nani?
 
Anzeni tu propaganda kuja kuhalalisha chanjo na lockdown,kwani wanavyokufa India lazima iwe hivyo kote.
Dunia imepiteza watu zaidi ya 2m lakini Afrika 100000 na kidogo,hujiulizi?
Unafaida gani na uvumi huu? Wewe umetumwa kupima upepo ni member wa ile tume?
 
Wakipotea tukiwa na hizo tahadhari itauma ila kwa kuwa ukweli ulitumika waziwazi nitasema ni ajali kazini. Lakini kudanganywa eti korona hakuna, kuzitukana barakoa kuwa eti ni kama sidiria na maneno lukuki ya kebehi, kubatiza korona majina ya hovyohovyo ili tu kuukataa ukweli huo ndiyo ukichaa kabisa hata Milembe kichaa wa grade hiyo hakuna.

Ila mkataa pema papaya panamwita. Yako wapi sasa? Unapambana na ukweli na Science unaleta mzaha? Mzaha ulizaa Usaha March 2021.
 
Anzeni tu propaganda kuja kuhalalisha chanjo na lockdown,kwani wanavyokufa India lazima iwe hivyo kote.
Dunia imepiteza watu zaidi ya 2m lakini Afrika 100000 na kidogo,hujiulizi?
Unafaida gani na uvumi huu? Wewe umetumwa kupima upepo ni member wa ile tume?

Watakacho-pendekeza tume tutakikumbatia kama kilivyo. Muda tuliolazimishwa kuukumbatia ujinga ujinga umekwisha na huko haturudi tena.

Waliotumwa kupima upepo ni gazeti la mwananchi, mwandishi wa mada gazetini, Daktari wa muhimbili, mleta mada JF, JF, au wachangiaji wa JF?

Mbona fulu kujichanganya jombi?

Hiiiiii bagosha!
 
Kweri kweri - hayo ni baadhi tu ya tuliyo rithi wenzio tokea kwa mwendazake. Kumbe wewe unataka kutusahihisha leo?

Umechelewa mno mburula wewe.

Ungemsahihisha yeye kwanza.

Hiiiiii bagosha!
Khaaaaa....

Kweli wewe shoga.
 
Tuletewe chanjo jamani. Mzee wa nyungu na kujifukiza hayupo, tuwe makini na afya zetu.
Kweni ile tume iliyoundwa na Rais wao wanasemaje?.

Kwa mujibu wa mama Samia tume iko kwenye hatua za mwisho kutoa ripoti.

Huenda pia CAG na yale mambo yetu ya BOT na TPA.

Tuvute subira.
 
Back
Top Bottom