- Thread starter
- #21
Tumeshinda naona itv kila siku wanatupa hali ya ugonjwa unavyoendelea Kenya Uganda na Rwanda
Bora wangeacha tu.
Huko ni sawa na kutupa takwimu za Mongolia. Zinatuhusu nini sisi?
Tumeshinda naona itv kila siku wanatupa hali ya ugonjwa unavyoendelea Kenya Uganda na Rwanda
Hujasikia Ufaransa kupitia Balozi wao nchini?
Kweli ninyi wajinga,eti mnaishi ili mfe?Akakague miradi basiso what...!! tunaishi ili tufe. .. tusipokufa kwa corona tutakufa kwa sababu nyingine ambazo zina tuzunguka katika maisha yetu. ...
😃😃😃 kwani wewe hautokufa?Kweli ninyi wajinga,eti mnaishi ili mfe?Akakague miradi basi
Ingia kwenye YoutubeBeberu mfaransa umemsikia mwenyewe au hii ya kuambiwa?
Hukuona JK alivyonukuliwa kwenye TV zetu? Alivyonukuliwa ndivyo alivyosema?
Ninaamini hata yeye alishangaa.
Akili za kuambiwa jombi.
so what...!! tunaishi ili tufe. .. tusipokufa kwa corona tutakufa kwa sababu nyingine ambazo zina tuzunguka katika maisha yetu. ...
so what...!! tunaishi ili tufe. .. tusipokufa kwa corona tutakufa kwa sababu nyingine ambazo zina tuzunguka katika maisha yetu. ...
Mkuu nitakufa Ila sita kufa kizembe Kama majinga ya ccm😃😃😃 kwani wewe hautokufa?
Kweli ninyi wajinga,eti mnaishi ili mfe?Akakague miradi basi
kwani aliye waelekezea machinjoni nani. ..? wizara husika sibado siiIpo tofauti ya kufa na kufa kijinga. We are in for it. Ila haina maana kuwa tuelekezewe machinjioni kikondoo kondoo kwenda kuchomwa tu ati tukiaminishwa kuwa tukishachinjwa sasa ndiyo tutakuwa tumeshinda vilivyo.
Ubinadamu unakamilishwa na uwepo wa akili inayoweza kutathmini mambo juu ya ile ya nyani.
Wanasema thubutu!
Si ulimwona alivyokaa mbali kwenye baraza?
Wanaendelea kusema, "wajinga ndiyo waliwao".
WhoUlitaka upongezwe na nani?
Ingia kwenye Youtube
kumbe hapa hoja ni ccm na sio maambukizi ya corona na athari zake
sorry ili kuwa ni wrong quoteUmeona ccm kwenye bandiko langu?
Usitake kulazimisha ya kwako kwangu.
Jikite kwenye mada.
kwani aliye waelekezea machinjoni nani. ..? wizara husika sibado sii
inatoa elimu kila kukicha nakuwaeleza watanzania namna ya kujikinga na maambukizi. ... je hiyo kwenu haitoshi. ?mpaka wizara iendlee kutangaza visa ili iweje? mnashindwa kutambua kwamba kuna watu wengine ambao wamekufa kwaajili ya hofu tu nasio kwaajili ya corona na hii ni baada ya mindset zao kukarili ule wimbo unaosema kuwa covid 19 ni ugonjwa hatari sana kuliko chochote... hakuna umuhimu wa serikali kutangaza visa vya corona wakati kuna magonjwa mengine yanayo uwa watu kila siku tena kwa idadi kubwa tu. mbona hamtaki pia visa vyake viwe vinatangwazwa?