Corona: Baada ya kushinda vita hakuna hata wa kutupongeza?

Mshindi bado ni mmoja tu, wengine bado wako katikati ya mchezo.

Wakigundua wameshindwa watatupongeza tu, hilo halina ubishi.
 
Hujasikia Ufaransa kupitia Balozi wao nchini?

Beberu mfaransa umemsikia mwenyewe au hii ya kuambiwa?

Hukuona JK alivyonukuliwa kwenye TV zetu? Alivyonukuliwa ndivyo alivyosema?

Ninaamini hata yeye alishangaa.

Akili za kuambiwa jombi.
 
Beberu mfaransa umemsikia mwenyewe au hii ya kuambiwa?

Hukuona JK alivyonukuliwa kwenye TV zetu? Alivyonukuliwa ndivyo alivyosema?

Ninaamini hata yeye alishangaa.

Akili za kuambiwa jombi.
Ingia kwenye Youtube
 
so what...!! tunaishi ili tufe. .. tusipokufa kwa corona tutakufa kwa sababu nyingine ambazo zina tuzunguka katika maisha yetu. ...

Ipo tofauti ya kufa na kufa kijinga. We are in for it. Ila haina maana kuwa tuelekezewe machinjioni kikondoo kondoo kwenda kuchinjwa tu ati tukiaminishwa kuwa tukishachinjwa sasa ndiyo tutakuwa tumeshinda vilivyo.

Ubinadamu unakamilishwa na uwepo wa akili inayoweza kutathmini mambo juu ya ile ya nyani.
 
Chukulia kama COVID “tumemshinda” ila endelea tu kuexercise high hygiene standards kwa kunawa mikono na sabuni kila mara na kuepuka misongamano isiyo ya lazima.

Hii itakusaidia kuwazuia hawa hapa: gastroenteritis, trachoma, skin infections, cholera, ebola etc

COVID bado ipo na haiondolewi kwa matamko.
 
so what...!! tunaishi ili tufe. .. tusipokufa kwa corona tutakufa kwa sababu nyingine ambazo zina tuzunguka katika maisha yetu. ...

Ipo tofauti ya kufa na kufa kijinga. We are in for it. Ila haina maana kuwa tuelekezewe machinjioni kikondoo kondoo kwenda kuchomwa tu ati tukiaminishwa kuwa tukishachinjwa sasa ndiyo tutakuwa tumeshinda vilivyo.

Ubinadamu unakamilishwa na uwepo wa akili inayoweza kutathmini mambo juu ya ile ya nyani.
 
Ipo tofauti ya kufa na kufa kijinga. We are in for it. Ila haina maana kuwa tuelekezewe machinjioni kikondoo kondoo kwenda kuchomwa tu ati tukiaminishwa kuwa tukishachinjwa sasa ndiyo tutakuwa tumeshinda vilivyo.

Ubinadamu unakamilishwa na uwepo wa akili inayoweza kutathmini mambo juu ya ile ya nyani.
kwani aliye waelekezea machinjoni nani. ..? wizara husika sibado sii
inatoa elimu kila kukicha nakuwaeleza watanzania namna ya kujikinga na maambukizi. ... je hiyo kwenu haitoshi. ?mpaka wizara iendlee kutangaza visa ili iweje? mnashindwa kutambua kwamba kuna watu wengine ambao wamekufa kwaajili ya hofu tu nasio kwaajili ya corona na hii ni baada ya mindset zao kukarili ule wimbo unaosema kuwa covid 19 ni ugonjwa hatari sana kuliko chochote... hakuna umuhimu wa serikali kutangaza visa vya corona wakati kuna magonjwa mengine yanayo uwa watu kila siku tena kwa idadi kubwa tu. mbona hamtaki pia visa vyake viwe vinatangwazwa?
 
Ingia kwenye Youtube

Asikudanganye mtu, si meko wala qassim, si Ummy wala samia, si kabudi wala jafo nk.

Wote wanajua - noone is envious of us!

Uliza madereva wetu kote wanakokatiza. Washindi sisi yangekuwa yanatukuta tunayoyashudia huko?

Sisi kama mashujaa si ndiyo sasa tungekuwa wa kuwasaidia kujikwamua? Hao sisi tuliompiga bao mpaka Madagascar mgunduzi wa dawa?

Hata wa kuja kutafuta siri ya mafanikio yetu hamna?

Mambo mawili tu: tuko vizuri sana au tuna ujinga wa kupitiliza. It can't be in between.
 
Hakuna Anayependa maendeleo YAKO..
unadhani kenya na uganda na rwanda watafurahia kutuona tukiendelea na maisha yetu wakati wao kila siku Wimbo wao ni corona corona,njaa njaa?.
Hawawezi kufurahi.
 
kwani aliye waelekezea machinjoni nani. ..? wizara husika sibado sii
inatoa elimu kila kukicha nakuwaeleza watanzania namna ya kujikinga na maambukizi. ... je hiyo kwenu haitoshi. ?mpaka wizara iendlee kutangaza visa ili iweje? mnashindwa kutambua kwamba kuna watu wengine ambao wamekufa kwaajili ya hofu tu nasio kwaajili ya corona na hii ni baada ya mindset zao kukarili ule wimbo unaosema kuwa covid 19 ni ugonjwa hatari sana kuliko chochote... hakuna umuhimu wa serikali kutangaza visa vya corona wakati kuna magonjwa mengine yanayo uwa watu kila siku tena kwa idadi kubwa tu. mbona hamtaki pia visa vyake viwe vinatangwazwa?

Kwamba vita tumeishinda unajua watu wamechukulia vipi kuhusu kauli hiyo? Unajua wagonjwa wangapi wanaugulia majumbani leo bila kwenda hospitali?

Hatuandiki humu, vifo vya ghafla kama vya wale wabunge vinaendelea.

Kwamba ugonjwa umeisha ina matokeo hasi mno kuliko mtu wa kawaida anavyoweza kudhani.

Ulimsikia yule RC alikuwa akizingatia masharti yote hakujua ugonjwa alipata wapi. Vivyo hivyo hata yule mbunge aliyegundulika Dodoma alisema .

Unadhani hawa kina Boris, malkia Elizabeth, nk walishindwa kunawa kuliko unavyoweza wewe? Unadhani wanaougua ni kwa makosa yao?

Kama unadhani hivyo hujui unachokisema.

Huu ugonjwa siyo ukimwi jombi.
 
Back
Top Bottom