Copy and Paste (Shanga)

Copy and Paste (Shanga)

wanavaa tu siku hz bila kujua maana, wengne wanavaa cheni za viunoni
 
Siku hz shanga hazivaliw kwa lengo la kufksha msg but znavaliwa kama urembo tu!!
 
Mwanamke wa kisasa utavaaje mishanga kama tunguli la mganga wa kienyeji......tupiamo kitu cha gold au kama uchumi mwembemba dondosha hata ka silver......sio mishanga kama unapiga ramli.......
 
Tangu nimekutana na zinazoelea kwenye majasho ya mwezi mzima kwa kiuno....Shanga nawaachia Watanga.
 
Mwanamke wa kisasa utavaaje mishanga kama tunguli la mganga wa kienyeji......tupiamo kitu cha gold au kama uchumi mwembemba dondosha hata ka silver......sio mishanga kama unapiga ramli.......

Hahahhaaaaa....
 
Tatizo hata nyie wanaume hamjuii matumizi ya hizo shanga; Siyo za kuzitazama kama picha.
.......... Tembezea vidole kwenye shanga huku vikikwaruzakwaruza mwili wa mhusika.
 
Tatizo hata nyie wanaume hamjuii matumizi ya hizo shanga; Siyo za kuzitazama kama picha.
.......... Tembezea vidole kwenye shanga huku vikikwaruzakwaruza mwili wa mhusika.

Sasa inabidi mwanamke ndiye awe mwalimu ktk kuhakikisha mwanaume anazitumia ipasavyo.

Hii ina maana wanaume wanafaham matumizi ya rangi tu kuashiria vitendo husika.
 
Enzi za mababu zetu wanawake walikuwa wanavaa Shanga kama ujumbe kwa mume. Ilikua ni aibu kubwa kumwambia mwanaume leo nahamu na wewe, leo niko period, leo niko danger days. Hivyo Shanga zilitumika kufikisha ujumbe.

........kumbe!,.......asante kwa somo........somo!
 
ulikusudia kusema nini labda baada ya hayo yote
 
images

Aisee, hadi moyo unadunda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom