mmh, kama anafanya hayo huyo hamjui mungu anahitaji deliverence kwanza, tb joshua hafundishi hivyo, nasema usipende kusujudiwa bali mungu ndo wa kusujudiwa, na hayo ayafanyayo sio kwa uwezo wake bali uwezo wa mungu
acha imani haba angetubu ibrahim unafikir leo hii angekuwa baba wa imani kuna mambo mengine unatakiwa utamke ili usonge mbele ukiona giza ubnatoka kama ibrahim alivyoondoka akamwacha mzee tera na sasa ni mshindi wa washindi baba wa imani ...so kuna wapendwa wanaitaji kuhubiriwa kwanza yaliyom ndio wabadilike nenda kanisan kwako jiulize wazinzi wangapi nakila siku wanashikwa na mchungaji wenu kichwa kuombewa ..... so mengine sio lazima ushikwe kichwa na mchungaji unaitaji kutamkiwa neno ili uotke hapo na shida zako za ulevi uzinzi nk....(sio wewe) washarika
Umenikumbusha mwaka 1994 nilisafiri kwa British Airways kutoka Dar kwenda London, kuna jamaa mmoja aliona zile huduma za kawaida zinazotolewa na wahudumu ndani ya ndege kama ni zaidi ya huduma, akifikiri huyo mdada alikuwa amemzimikia kumbe lah! akaanza kumshika shika na kumtongoza matokeo yake tuliposhuka Heathrow alikamatwa na maofisa usalama na kushtakiwa kwa kosa la sexula harassment.
Baadhi ya watanzania hatujui maana ya customer care na kwamba hatustahili kuipata na ukiipata unadhani ni favour. Tumezoea mshike mshike na ndio maana huyo Martha anaendeleza upuuzi huo. Kupata suluhisho la tatizo hilo ni kuwashauri SCOAN wampatie mafunzo ya customer care au la sivyo uwakilishwi huo apewe mtu aliyekata shauri kwani Mungu ndiye atakaye muongoza katika kuifanya kazi hiyo.
Si rahisi kutengeneza Annointed water fake, zile za kutoka SCOAN zina Seal ambayo si rahisi kuiforge.Nikipata Muda nitapiga picha ya Annointed water Halisi.Annointed water pale SCOAN zinapatika 3 kwa USD 100 (Naira 15000) kwa hiyo Martha anawapatia bei sahihi
kwa maneno haya ndipo huwa nashindwa elewa mwaabudu nini enyi watu ,nafikiri kitendo cha lile jina tu la SCOAN tayari imesharepresent ile ministry na tunatakiwa iwe treared as all over the world kumtetea huyu dada japo siamini mimaji na mistica hiyo ni ujinga mtupu ,huyu dada anatakiwa a behave hevenly angel nakupresent Yesu kristo na kuwa mfano bora wakuigwa kwa kila amtazamaye nashindwa elewa mwasoma biblia gani ,hata yule mwimbaji alisema wale watu walipomtizama PETRO walijua ni mwanafunzi wa yesu ,kunena ,kutembea na vingine vingi je huyu so called martha anampresent bwana anayemtumikia mentioned Yesu,kunena kwake ,matendo yake je ana uwezo wakuwanawisha watu maskini miguu kama yesu? wacheni bwana mtoa mada ana haki yakulalamika na an bahati sana kama ni mimi namchamba huyo martha live alafu natafuta ustaarabu mwingine wakufika huko nigeria.watu wanamwaibisha Mungu wewe unatetea??
Duh! bado hii thread ipo hot? kweli watanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa we have everything here tena bure kabisa lakini tunaacha na kuhangaika kwa gharama kubwa utadhani hiyo biblia ipo nigeria tu
Asante sana mkuu kwa kutufungua macho.
Nadhani sasa tutajua cha kufanya.
Hakuna haja ya kupata manyanyaso kwa Martha.
Viva JF
Ni kweli unaweza kuomba ONLINE kwenda SCOAN lakini uzoefu umeonyesha kwamba ni watu wachache ambao wameshaitwa baada ya kuapply kwa njia hii.Inaonekana ONLINE applications zinakuwa nyingi hivyo inakuwa vigumu katika kutoa vipaumbele (Kwa Online application inakuwa vigumu kupata uhalisia wa tatizo la mtu ndio maana wameanza kutuma wale Evangelists ktk nchi mbali mbali za Africa).Kwa wale wanaotaka kwenda SCOAN wenyewe wafanye yafuatayo:- 1. Wawe na alau na Usd 900 kwa Ticket (kwenda na kurudi), Accomodation na chakula kwa siku sita 2. Watafute supporting Documents za Hotel Reservation (Payment upon arrival) 3. Wapate Visa ktk Ubalozi Nigeria 4. Then tunaojua kule twaweza kuwapa contacts za kupata hotel karibu na SCOAN na Tax Driver wa kukuchukua toka Airport.
What is that everything? mfarisayo.
Unadhani hadi watu wanakwenda Nigeria hawajajaribu local available solution?
By the way, kila mtu ana imani yake, na anaweza kufanya analotaka.
Heshimu maamuzi yao!
mfarisayoI mean upako, baraka na neema hata tz zipo tele kwaini Mungu habagui watu wake, tatizo kubwa la kizazi chetu tanapenda shortcut na ndo mana dini nayo imekuwa biashara inayoshamiri kwa kasi kwani wajanja washajua demand ya miujiza na viini macho ni kubwa.
mfarisayo
Upako, baraka na neema viko wapi hapa Tanzania?
Mbona husemi?
Mbona hutaki kuwaelekeza watu your plan B?
Funguka wazi wazi acha kuzunguka
Wenzako hawajui ndio maana wanataka kwenda SCOAN.
Sema wazi wazi usikike, utawaokoa na nyodom daharau na kiburi cha Martha
nivea bora mungu akunyime utajiri kuliko ufahamu embu nisaidie hili kama umesoma miujiza ya yesu vizuri kuna ambao waliambiwa wakapake matope na wakapona kuna waliopaka mafuta wakatoka iweje wewe ambae amesema anaondoka na aliowaacha watafanya zaidi ya aliyoyafanya kwa nini suiamini.......mungu akupenguvukwa maneno haya ndipo huwa nashindwa elewa mwaabudu nini enyi watu ,nafikiri kitendo cha lile jina tu la scoan tayari imesharepresent ile ministry na tunatakiwa iwe treared as all over the world kumtetea huyu dada japo siamini mimaji na mistica hiyo ni ujinga mtupu ,huyu dada anatakiwa a behave hevenly angel nakupresent yesu kristo na kuwa mfano bora wakuigwa kwa kila amtazamaye nashindwa elewa mwasoma biblia gani ,hata yule mwimbaji alisema wale watu walipomtizama petro walijua ni mwanafunzi wa yesu ,kunena ,kutembea na vingine vingi je huyu so called martha anampresent bwana anayemtumikia mentioned yesu,kunena kwake ,matendo yake je ana uwezo wakuwanawisha watu maskini miguu kama yesu? Wacheni bwana mtoa mada ana haki yakulalamika na an bahati sana kama ni mimi namchamba huyo martha live alafu natafuta ustaarabu mwingine wakufika huko nigeria.watu wanamwaibisha mungu wewe unatetea??
Lisemwalo..............! Of course Watanzania tuwe wavumilivu, mimi nishaenda hapo.. Ujue kuna mambo mengine tusiyachukulie kirahisi hivyo. Mara kwa mara napata taarifa zote ikiwa kuna wainjilisti kutoka the SCOAN - Lagos - Nigeria ambacho ni kitu cha kupigiwa mfano mzuri kwa sie watanzania. Na kama kweli unafuatilia vizuri hata Wainjilisti to the SCOAN wametoa compliment nzuri tu toka TZ. "It's very easy to come to JESUS CHRIST, the problem.... how to maintain. You come and collect you ANOINTING WATER AND STICKER but stil fail to get deliverance. Anointing water is not something like PANADOL that if you have headache you get healed like that. No, no no no...., you have a role to play. First, observe your LOVE life towards others then you will surely notice what you are wishing for. God is GOOD all the time and all the time GOD is good. Have faith, everything will be Ok. We have witnessed some get deliverance through seing man of God, Prophet T.B JOSHUA in the dream; some through touching on the screen on EmmanuelTV during live telecast or re-broadcast just to mention a few.
Jana SCOAN kulikuwa na mambo sana.
Watanzania wametolewa mapepo.
Martha was there translating, although it leaves a lot to be desired.
All in all, praise the Lord
cc mfarisayo
Kwani hayo mapepo hayawezi kutolewa hapa tz? hivi mnafunga safari kwenda huko just kutoa mapepo tu? Thats very fun. Kama mngekuwa mnafunga safari kupeleka maiti zikafufuliwe hapo ningewaunga mkono lakini sio kwenda kutoa mapepo.
cc Sumba-Wanga and Co.